gout husababishwa na nn? nini matibabu yake....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

gout husababishwa na nn? nini matibabu yake.......

Discussion in 'JF Doctor' started by Mjasiriamali1, Sep 20, 2012.

 1. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [FONT=&amp]Nini maana ya gout.(what is gout)?[/FONT]

  [FONT=&amp] <>Gout ni moja kati ya ugonjwa wa aina ya athritis ambao husababisha maumivu makali katika viungo vya mwili kutokana na kiwango kikubwa cha uric acid kinapo [/FONT]
  [FONT=&amp] jengwa mwilini.[/FONT]

  [FONT=&amp]<>sharp uric acid crystal hujikusanya katika viungo vya mwili,maranyingi hujikusanya kwenye vidole gumba vya miguu (BIG TOE)[/FONT]

  [FONT=&amp]<>Mkusanyako wa uric acid (uitwao tophii) ambao huonekana kama uvimbe au mkusanyako wa vitu (lumps) chini ya ngozi usiokua na umbo na ukubwa [/FONT]

  [FONT=&amp]GOUT HUSABABISHWA NA NINI /
  NINI CHANZO CHA GOUT[/FONT]
  [FONT=&amp]<>Gout husababishwa na vitu vingi sana ila mwanzo wake huanza kwa msongamano wa mawazo,ulevi,utumiaji wa madawa au kwa magonjwa mengine na kupelekea kupata ugonjwa huu wa gout.Hivyo kupelekea kiwango cha uric acid kwa wingi katika mwili.[/FONT]


  [FONT=&amp] <> Uric acid hutokana na kuvunjwa vunjwa kwa vitu viitwavyo PURINES. Purines hupatikana mwili mzima katika mkusanyiko wa cell ziitwazo tissue.[/FONT][FONT=&amp]Maranyingi uric acid huchanganyikana na damu,hupitia kwenye figo (kidney) inapotolewa mwilini ambapo hutolewa pamoja na mkojo.Lakini uric acid huweza kujengwa katika damu wakati mwili unapo ongeza kiwango cha utengenezaji wa uric acid.[/FONT]

  [FONT=&amp] <>figo linaposhindwa kutoa kiwango cha kutosha cha uric acid katika mwili iwapomtu anapo kula chakula kingi ambacho kina kiwango kikubwa cha purine Wakati kiwango cha uric acid kinapokuwa kingi katika damu,huitwa HYPERURICEMIA.Watu wengi wenye hyperuricemia haiwapelekei kupata ugonjwa wa gout[/FONT][FONT=&amp].[/FONT]
  [FONT=&amp]GOUT CAN CAUSE
  (GOUT HUSABABISHA)[/FONT]

  Ø [FONT=&amp] MAUMIVU KATIKA VIUNGO (PAIN)[/FONT]
  Ø [FONT=&amp] KUVIMBA KA VIUNGO (SWELLING)[/FONT]
  Ø [FONT=&amp] WEKUNDU (REDNESS)[/FONT]

  Ø [FONT=&amp] JOTO (HEAT)[/FONT]

  Ø [FONT=&amp] STIFFNESS IN JOINTS[/FONT]


  [​IMG]
  ü [FONT=&amp]BARBERDENSIS MILLER [/FONT]
  [​IMG]

  ü [FONT=&amp] ABSORBENT C
  [/FONT]
  [​IMG]


  ü [FONT=&amp] BEE PROPOLIS

  [/FONT]