Gotham International - Nani wamiliki?

Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,229
662
GT said:
Taarifa zinasema kwamba mradi huo wa fedha nyingi umekuwa ukigombewa na wakubwa: Mambo ya Ndani; Mambo ya Nje; Ofisi ya Waziri Mkuu na ulibuniwa na wajiriwa serikalini na kisha kampuni yao ya Gotham International ikapewa kazi ya upembuzi na hatimaye ikaandaa mchanganuo.

Kati ya waajiriwa hao wa serikali walikuwamo Jack Gotham mwenye uhusiano wa karibu na viongozi wengi serikalini na John Kyaruzi mwajiriwa wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) ambaye ameelezwa kuwa ndiye aliyevuta kampuni moja ya Afrika Kusini, Business Connection (Bcx) kuunda timu ya Gotham International.

Vitambulisho hivyo vilikuwa vianze kutoka kabla ya mwaka ujao, lakini sasa baada ya utata huo baadhi ya wataalamu wa masuala hayo wanaona kuwa hakuna haja tena ya kuwa navyo kama havihusishi pamoja na mambo mengine, kama takwimu muhimu za wapiga kura.

“Hicho kitambulisho kinachotafutwa kwanza ni ghali sana mpaka hata Benki ya Dunia ilihoji kama Tanzania inahitaji kitu ghali kama hicho.

Tanzania tunasifa ya kuwa na international companies hewa ambazo hazijafanya kazi kama hizo popote ulimwenguni.


“Lakini pia sasa Tume ya Uchaguzi inapitia Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ungetarajia kitambulisho hicho kiwe na taarifa zote hizo, lakini sasa Serikali inataka kuwa na utambulisho wake na Tume ya Uchaguzi nayo utambulisho wake, hii haileti maana,” anasema mtaalamu mmoja wa takwimu.

Je, hii kampuni tayari imepewa uthibitisho wa kupata tenda ya kutengeneza vitambulisho?

Nani wamiliki halali wa hii kampuni?

Ilianza kufanya kazi Tanzania lini?

Ilisajiliwa lini?

Inafanya kazi gani South Afrika au mahali pengine popote duniani?

Je, wametengeneza smart cards za aina gani anywhere in the world.

2.jpg


Je, ni kweli Waziri Membe ana uhusiano wa karibu na hii kampuni?
 
Kulingana na website ya BCX connection, wana ofisi hapa Dar ambazo ziko

Maktaba Street
Dar Es Salaam
TANZANIA
Tel + 255 22 213 6601
Fax + 255 22 213 6602
Physical address 3rd Floor, Morani House
Contact Person
Paul Nilsen
Regional Manager
email paul.nilsen@bcx.co.tz
 
Dua, kama umesoma posts zao humu utaona kuwa wenyewe wako very emotional at these times lakini kama nilivyosema hapo awali, hatuhitaji huu mradi na kimya cha wengi ni ishara kuwa bado hatujakomaa...

mark my words 5 years from now we look back and say had we know then..lakini itakuwa too late

wako wako bize na balali na pesa ambazo zishaliwa lakini hakuna aliyetari kusimama kidete kuhusu huu ulaji unaokuja

mind you hii si programu ya mwaka mmoja ni continuous kwa miaka 5
 
If you go to WHOIS, here is the info you get about the domain name.

Registrant:
DTP
P.O. Box 20936
Dar es Salaam, N/A 20936
TZ

Domain name: GOTHAMTZ.COM

Administrative Contact:
Abdulrasul, Hanif
P.O. Box 20936
Dar es Salaam, N/A 20936
TZ
+255748387890
Technical Contact:
OpenSRS Technical Contact, NIC
816-10 Bay St.
Toronto, ON M5J2R8
CA
+1.4169577400 Fax: +1.4169577401

Registration Service Provider:
SoftCom Technology Consulting Inc.,
+1 (416) 957-7400
+1 (416) 957-7405 (fax)
http://softcom.biz
Please visit http://myhosting.com or http://services.mail2web.com for
support with domain logins/passwords, DNS/Name Server changes, renewals
and general inquiries.

Registrar of Record: TUCOWS, INC.
Record last updated on 17-Mar-2007.
Record expires on 04-Sep-2011.
Record created on 04-Sep-2003.

Registrar Domain Name Help Center:
http://domainhelp.tucows.com

Domain servers in listed order:
NS1.IPOWERDNS.COM
NS1.IPOWERWEB.NET

Domain status: ok

So what is DTP, softcom, and who is Abdulrasul?
 
haya mambo ya ID ni ulaji tena mkubwa.
inashangaza taifa ambalo halina pesa kama Tanzania kung'ang'ania kutengeneza ID card wakati nchi za first world nyingi hazin vitu kama hivyo.
tukiwacha tatizo la fedha za kutengenezea card hizo kuna tatizo la security.
nna wasi wasi kuwa zikianzishwa tu hizi ID card, wizi wa identity utaanza kama ulivyokwisha tokea katika nchi ambazo zinatumia sytem hizo.
 
Wakuu,

DTP ni Desktop Productions Limited kampuni moja iliyokuwa inaitwa Desk Top Publishers or something like that, enzi izo walikuwa na ofisi pale mkabala na jengo la umoja wa vijana, waanzilishi na wamiliki ndio hao akina Hanif and Shafiq(?) Abdulrasul. Website yao hii hapahttp://www.dtptz.com//

Softcom ni kampuni inayofanya mambo ya webhosting iko Toronto, Canada...haya sasa as Mzee MKJJ would say "connect the dots" to which I might add, "if you can"!
 
Je, hii kampuni tayari imepewa uthibitisho wa kupata tenda ya kutengeneza vitambulisho?

Nani wamiliki halali wa hii kampuni?

Ilianza kufanya kazi Tanzania lini?

Ilisajiliwa lini?

Inafanya kazi gani South Afrika au mahali pengine popote duniani?

Je, wametengeneza smart cards za aina gani anywhere in the world.

2.jpg


Je, ni kweli Waziri Membe ana uhusiano wa karibu na hii kampuni?

aisee...............
 
Je, hii kampuni tayari imepewa uthibitisho wa kupata tenda ya kutengeneza vitambulisho?

Nani wamiliki halali wa hii kampuni?

Ilianza kufanya kazi Tanzania lini?

Ilisajiliwa lini?

Inafanya kazi gani South Afrika au mahali pengine popote duniani?

Je, wametengeneza smart cards za aina gani anywhere in the world.

2.jpg


Je, ni kweli Waziri Membe ana uhusiano wa karibu na hii kampuni?Tapeli na fisadi..Mkuu ..JACK GOTHAM

KWA WANAOJUWA MAMBO HASA WAANDISHI WA HABARI ..NAWAPA MTIHANI .

NENDENI ARCHIVES ZA RAI ( Ya jenerali ulimwengu ) ......KULIKUWA NA SERIES YA KARIBU ISSUE 5 ...IKIMUONGELEA HUYU MPAMBE WA MEMBE
 
Mpaka leo nashangaa hii TZ haijabaki mifupa, walahi imetafunwa kuliko chakula cha aina yoyote duniani!
 
Je, hii kampuni tayari imepewa uthibitisho wa kupata tenda ya kutengeneza vitambulisho?

Nani wamiliki halali wa hii kampuni?

Ilianza kufanya kazi Tanzania lini?

Ilisajiliwa lini?

Inafanya kazi gani South Afrika au mahali pengine popote duniani?

Je, wametengeneza smart cards za aina gani anywhere in the world.

2.jpg


Je, ni kweli Waziri Membe ana uhusiano wa karibu na hii kampuni?

Pascal unatafuta nini huku? Joking!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom