GOTEBORG AWARD TO Dr. Anna Tibaijuka on 24th Nov 09 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GOTEBORG AWARD TO Dr. Anna Tibaijuka on 24th Nov 09

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngida1, Nov 24, 2009.

 1. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Dear women,
  I have no way of celebrating the prestigious award that our Tanzanian lady Dr Anna got except to let all of you know about it and be proud of our hero. Competition in getting this award is intense and for Anna to get it is not only a recognition of her tireless efforts to humanity but it is a pride of our country Tanzania and of women in Tanzania that if we are given an opportunity we can excel. I feel very disheartened that our newspapers have nothing much about it except Mwananchi who wrote in the 4th page without even a picture of our beautiful hero on it. Meanwhile on the front page there is a big picture of our ex president as usual on issues which will sell the newspaper than to put a picture of Tibaijuka who is putting Tanzania in the chat on 24th Nov. 2009. Who ever receives this note please pass it over and if there is anyway you can use your organization yourself to shout about it please do. Her success is a success of women and men of this country. Also, say a special prayer for her on 24th Nov, as she receives the award in Stockholm.
  Mwanamke akiwezeshwa anaweza. Wote tufanye kazi kwa bidii kama Dr Tibaijuka
  Regards,
  JMM.
   
 2. M

  Matarese JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Congratulations to Mama Tibaijuka,
  But on the other hand, how does putting Tanzania on the chart help my fellas at the village? How do Tanzania village women benefit from that? Iam not really discouraging her efforts but is such kind of "misifa" that has lead us to this point. Tunataka sifa toka kwa watu wa nje, mara tunasaidia comoro, mara ukombozi, lakini huku kwetu hakuna tunachofanya na tunaishia kuwa masikini wa kutupwa!
  Remember charity should begin at home but.......
   
 3. L

  Lampart Senior Member

  #3
  Nov 24, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matarese, kabla na sisi wengine hatujakuunga mkono kumpa congratulations huyu mama, kwani yeye kafanya nini?
  Labda pengine kapewa hio zawadi kwa kuwasaidia wananchi kule vijijini. Unajuwaje?
  Nd Ngida1 utakuwa unajua kafanya nini, tafadhali tueleze ili tuzidi kumwagia congratulations teletele huyu mama!!!
   
 4. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuh kweli baada ya dhiki faraja.
  Baada wiki kama mbili za majonzi na aibu kutoka kwa SS sasa at least masikio yangu yana bahatika kusikia habari tamu kutoka kwa mwanamke wa ki TZ Dr Anna.
  Hongera sana Anna, WAKOLA WAITU MAMA, KASINGE!  A woman can be strong, confident and sexy

  NANYI MTAIFAHAMU HIYO KWELI NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU

   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Mkuu kweli Haya ndo mambo ya kusikia.Lakini Dr is smart upstairs. Hajabebwa huyu kufika alipofika na proves that by unleashing undoubtedly valuable things. In the global stage such an award could not just be thrown to her like that.She deserves it.
   
 6. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2009
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi huyu mama ni Dr..??? au Prof..???? habari yenyewe ndio hii....

  Award Winner 2009


  Rapidly growing cities and towns house half of the world's population. They represent 75
  percent of all energy consumption and generate 80 percent of greenhouse gas emissions. This means that the battle to create more sustainable cities and urban environments - environmentally and socially - is one of the most decisive factors facing the UN Climate Change Conference Copenhagen in December.

  For this reason the Göteborg Award, one million Swedish crowns, is shared equally by three people who have found new solutions to these enormous challenges:
  · Dr. Anna Kajumulo Tibaijuka, Tanzania
  · Enrique Peñalosa, Bogotá, Colombia and
  · Sören Hermansen, Samsö, Denmark

  The Göteborg Award - "The Nobel Prize in Environment" - celebrates its ten year jubilee in 2009. We are thrilled to award our jubilee prize to these brilliant visionaries, strategists and system transformers," says Stefan Edman, Chairman of the Award Jury since its conception in 2000.

  This is the tenth Göteborg Award and the total amount of the prize is one million Swedish crowns. The Award was founded by the City of Göteborg and several interested companies in 1999. Its purpose is to "stimulate further positive developments and recognize strategic work for national and international sustainable development".
  It is funded by the City together with the Second Swedish National Pension Fund, Carl Bennet AB, Elanders AB, Eldan Recycling, Folksam, Götaverken Miljö, Handelsbanken, Nordea, Peab, Schenker AB, SKF and The Swedish Co-operative Union (KF).
  The Award winners will receive their prize at a prize ceremony on the 26th of November in Göteborg.

  Source: http://www.goteborgaward.com/en/pristagare-2009/pristagare-2009.html
   
 7. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45

  Nd. Matarese,
  Japokuwa kwa vigezo vyako itakuwa huyu mama hajafanya kitu kutokana na kuwa hajamsaidia directly mwanakijiji kule Sumbawanga kupiga matuta ya muhogo kwa urahisi, but, internationally kafanya mengi to help mankind in general. Hapa ninaweza kidogo kugusia zile reforms alizozileta katika United Nations Centre for Human Settlements mpaka wakubwa ikabidi hii Centre wai-upgrade to a programme status na ikaitwa UN-HABITAT. Hilo halikuwa jambo dogo, kwani HABITAT leo inasaidia wengi wa mjini na vijijini.
   
 8. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nd. Kapwani,
  Hii ni lugha gani? Usinione mkabila, bali this is just for my general knowledge only.
   
 9. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2009
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ama kweli sasa naamini watanzania wanajua historia ya jana na leo, miaka kumi iliyopita kwao ni zama za giza! Prof Dr. Anna Tibaijuka, ni mmoja ya walimu mahiri aliyefundisha hata chuo kikuu cha Dar, ambapo hao watoto wawakulima walisoma, kisiasa ndiye aliyepambana na CCM waliouteka Umoja wa Wanawake Tanzania, alipokuwa mmoja wa waanzilisha wa baraza la wanawake Tanzania ambalo lilikuwa lisiwe chini ya makucha ya CCM bali kwa ajili ya akinamama wote likiwa na lengo hasa la kuwawezesha wakinamama wote wasibakie wakolezaji wa siasa za mfumo dume Tanzania kama ilivyo UWT ya Sophia Simba na Mafisadi. Azma yake hiyo ilipingwa na Wana-CCM na Rais Mwinyi na hata na baadhi ya Wanawake hasa viongozi UWT!!! Baadaye Baraza lilifutiwa usajili na Rais! Ingawaje baadaye akiwa amekwisha kwenda nje alishinda kesi ya kufutiwa usajili wa Baraza! Ndipo mama huyu alihamishia kipaji na elimu yake katika maswala ya kimataifa, ambapo amefanya mengi sana na HABITAT. Hivi sasa anasaidia mipango miji hasa makazi yasiyopimwa kwa wahitaji. Dar inafaidika na nchi nyingi masikini pia. Anna ni shujaa wa kupigania watu wanaoishi katika slums! Watanzania tujivunie Prof.Dr. Anna Tibaijuka... CCM rejected her at home but she's our pride internationally! Congrats Anna!
   
 10. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2009
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=0PDngbiUKpE[/ame]
   
 11. M

  Mchili JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Congrats mama Anna Tibaijuka.
   
 12. W

  WildCard JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Nasikia kule UN-HABITAT makao makuu Wahaya wengi! Ya kweli haya?
   
 13. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2014
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Kuna haja ya kuwaabia watoa award wafute hiyo!!!!!!!! Awarudishie!!!!!!
   
 14. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2014
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nobody can saythese words now. Tibaijuka has fallen from grace with her 1.6 billion!!!
   
 15. Rawasha

  Rawasha JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2014
  Joined: Oct 1, 2014
  Messages: 397
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Nimesoma comments zote ila kuna mtu anajitahidi sana kutojibu maswali bali kuongeza sifa na kuudhi wengine. Ukweli haufutiki kwa tuzo.
   
 16. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2014
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  mwizi ni mwizi hata akipata Nobel, atabaki kuwa mwizi....kachafuka, ananuka ufisadi!
   
 17. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2014
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Nadhani hii tuzo pia ni kwa kuwakilisha vema jinsia ya kike katika wizi wa ESCROW kwani hakuna mwanamke mwingine mule katika list ya mkombozi alivuta mpunga mrefu kuliko Profesa....kwa kweli Le Profeseri ametisha.
   
Loading...