Google yatangaza kuacha kufanya kazi na Kampuni ya Simu ya Huawei! Yasema imefuata amri ya USA

Majasusi wa Marekani wana akili kubwa Sana. Mpaka wakishituka na kumuachia au kumuua yule Dogo Edward Snowden. Taifa la Russia watakuwa wamepoteza vitu vingi sana. Maana yule mtoto ana Microchip Mwilini za kutosha, ambazo anawasiliana sana na CIA. Wao wanafikiri wameokota Dodo kwenye mbuyu. USA akili kubwa sana, kama wameweza kuikontroo dunia kwa kutengeneza matatizo Kama magonjwa ya ukimwi, kifua kikuuu, malaria, Ebola, typhoid, amoeba na vitu vingine. Ndio maaana Kuna mataifa kama ya ulaya yanaumia sana yakikosana na USA au Israel. Kwa sababu kule Great Thinker wengi sana
Pole Sana mkuu unaongelea Taifa la Urrusi Kama vile unaiongelea Rwanda !!!?
 
Majasusi wa Marekani wana akili kubwa Sana. Mpaka wakishituka na kumuachia au kumuua yule Dogo Edward Snowden. Taifa la Russia watakuwa wamepoteza vitu vingi sana. Maana yule mtoto ana Microchip Mwilini za kutosha, ambazo anawasiliana sana na CIA. Wao wanafikiri wameokota Dodo kwenye mbuyu. USA akili kubwa sana, kama wameweza kuikontroo dunia kwa kutengeneza matatizo Kama magonjwa ya ukimwi, kifua kikuuu, malaria, Ebola, typhoid, amoeba na vitu vingine. Ndio maaana Kuna mataifa kama ya ulaya yanaumia sana yakikosana na USA au Israel. Kwa sababu kule Great Thinker wengi sana
So wewe unaweza kua na maarifa sana kuwazidi majasusi wa urusi sio?

Sijui kwanini hata Jeshi la Mgambo hawakukuona wakuchukue mkuu.
 
Back
Top Bottom