Google pixel na iphone nichague simu ipi kwa camera quality kwenye biashara ya mavazi?

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
437
1,532
Nahitaji kuanza biashara ya mavazi lakini kama mnavyojua biashara now inahitaji kuwa na picha nzuri zenye quality kwa ajili ya kuipromote biashara mtandaoni

Wataalam nishaurini kati ya google pixel camera na iphone ipi itanifaa kwa picha nzuri zenye quality kwa ajili ya biashara yangu
 
google pixel camera na iphone
Pitia huu ukurasa wa XDA wamechambua kwa kina sana
Code:
https://www.xda-developers.com/google-pixel-6-pro-vs-apple-iphone-13-pro-camera-shootout-comparison/

Video

Nahitaji kuanza biashara ya mavazi lakini kama mnavyojua biashara now inahitaji kuwa na picha nzuri zenye quality kwa ajili ya kuipromote biashara mtandaoni

Wataalam nishaurini kati ya google pixel camera na iphone ipi itanifaa kwa picha nzuri zenye quality kwa ajili ya biashara yangu
Google pixel 6 pro japo upatikanaji wake ni changamoto
 
1638586502864.png

Ni changamoto
Kupata hapa nchini, Wafanya biashara huangalia bidhaa yenye mzunguko wa fedha sokoni. Ndio sababu hizi simu hazipatikani kiurahisi hapa nchini kwa kukosa wanunuzi.

Kuna option kadhaa za kuagiza
  • Kutokea USA
  • Kutokea Europe

Pia tunaweza kuagiza kutoka officia website: store.google.com
Code:
https://store.google.com/us/product/pixel_6_pro?hl=en-US

Muda wa kufika nchini: Wiki 2 minimum ( wiki 3 Maximum)

Waweza ku_agiza wewe mwenyewe iwapo unafahamu nini cha kufanya.

Au waweza kufanyiwa manunuzi zaidi soma hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Nakushauri uchukue VIVO X70 Pro+ au Sony Xperia Pro-I. Hizo ndio simu bora kwa sasa hasa kwenye Camera quality. Zote ni flagships.View attachment 2032099View attachment 2032098
Hio Sony inaonekana mashine ila in real sense sony siwaelewagi kwenye camera japo wao ndio wauzajibwakubwa wa sensors za camera!

Sijui huwa wanafeligi wapi camera ina hardware za kisasa kabisa aperture nzuri ila picha mbovu huwezi compare hata na picha ya tecno midrange!

Nimetumia Z series, C series Xperia na M ila walau ile ya Z1 ilikuwa freshi na C ila M ni majanga! But couldnt compare na samsung camera ya 8MP
 
View attachment 2032031
Ni changamoto
Kupata hapa nchini, Wafanya biashara huangalia bidhaa yenye mzunguko wa fedha sokoni. Ndio sababu hizi simu hazipatikani kiurahisi hapa nchini kwa kukosa wanunuzi.

Kuna option kadhaa za kuagiza
  • Kutokea USA
  • Kutokea Europe

Pia tunaweza kuagiza kutoka officia website: store.google.com
Code:
https://store.google.com/us/product/pixel_6_pro?hl=en-US

Muda wa kufika nchini: Wiki 2 minimum ( maximum wiki 3)

Waweza ku_agiza wewe mwenyewe iwapo unafahamu nini cha kufanya.

Au waweza kufanyiwa manunuzi zaidi soma hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Bro kufanya slow motion kwenye ni app au camera ya simu au mpaka uwe na camera ya kawaida.
Nataka kufanya video iwe slow motion lakini kila app ninayo download play store naona chenga.
 
Hio Sony inaonekana mashine ila in real sense sony siwaelewagi kwenye camera japo wao ndio wauzajibwakubwa wa sensors za camera!

Sijui huwa wanafeligi wapi camera ina hardware za kisasa kabisa aperture nzuri ila picha mbovu huwezi compare hata na picha ya tecno midrange!

Nimetumia Z series, C series Xperia na M ila walau ile ya Z1 ilikuwa freshi na C ila M ni majanga! But couldnt compare na samsung camera ya 8MP
Naonaga wakina mkbh na mrwhosetheboss wanawasifu sana kuhusu camera, ila uwa wanasema wanasema wanaweka vitu ambavyo mtumiaji wa kawaida hawezi tumia.hata camera yao latest inahitaji uwe mtaalamu wa kupiga picha kucheza na masettings ndo utajua utamu wake.
 
sema unataka iphone ipi na pixel ipi!!!!

kama una mfuko mzuri,yaani wa kununua latest zote,bas haina haja ya kujifunga kwenye hizo simu mbili maana simu zote za bei mbaya hautakuwa disapointed.

but kwa kigezo cha kutunza bei,na uhakika wa kuuza baadae chukua iphone.
 
5
 
Back
Top Bottom