Google pixel camera ni fire aisee

Kuweka gcam hakuhitaji rooting mzee
Iyo ni camera kawaida kwa simu za google pixel ila kwa nyie wengine mnaweza kudonwload kama program ila kwetu watu wa pixel ni kawaida hatuhitaji kuroot simu ipo automatically yangu nilichukua 330k iyo pixel 3a zipo kibao kila kona
K
 
IMG_1134.jpg

IMG_1133.jpg

IMG_1132.jpg

IMG_1130.jpg

IMG_1129.jpg

Kwa 3 na 3A nicheck
 
Ni app ya ku edit au
Mkuu hiyo ni feature ambayo ambayo Kwa simu nyingi za kisasa inapatikana kwenye camera zao,kama simu yako ni ya kisasa bas camera yake lazima iwe na hiyo feature ya kuitwa "Portrait" kinaonekana kile unachokilenga Tu,vingine vinakuwa havionekani vizuri kama ulivyoona kwenye picha hapo.
 
Wewe kwa kua ni biashata huru sio ya wizi weka detailz hapa watu wajipimie weka na bei haya mambo ya kila kitu tukucheki huko itakuaje, je na wewe usingejiongeza kusema unauza hizo brand tungekufuata? Umeanza hapa limalize hapa hapa kiongozi

Google pixel 3 kwa 400k
Google pixel 3A kwa 360k
 
Unafanyaje ivo vitu vya nyuma visionekane vizuri, kinaonekana kiatu tu?

Naomba nielekeze.

hiyo ni potrait mode kwenye camera.

simu nyingi za miaka ya karibuni zinakuja na hiyo option,au kuna namna ya kuistall gcam katika simu yako.shart isiwe tecno,infinix ama itel
 
hiyo ni potrait mode kwenye camera.

simu nyingi za miaka ya karibuni zinakuja na hiyo option,au kuna namna ya kuistall gcam katika simu yako.shart isiwe tecno,infinix ama itel
Mbona napigia kwenye Potrait lakini vinaonekana tu kila kitru??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom