Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,008
- 26,318
Ni app ya ku edit auInaitwa potrait or focus
Ni app ya ku edit auInaitwa potrait or focus
Mkuu, iyo google pixels nimeingia playstore sijafanikisha. Waweza ni2mia picha yake jinsi ilivyo?
haipo playstore,na shart la kwanza lazima ujue aina ya simu.
tecno na wenzie haikubali.
picha ya simu
Natumia samsung
KIyo ni camera kawaida kwa simu za google pixel ila kwa nyie wengine mnaweza kudonwload kama program ila kwetu watu wa pixel ni kawaida hatuhitaji kuroot simu ipo automatically yangu nilichukua 330k iyo pixel 3a zipo kibao kila kona
Fuata uzi wa Gcamp then comment kwa kwa kumuomba akutumie configuration utamwambia model ya simu yakoNatumia samsung
Fuata uzi wa Gcamp then comment kwa kwa kumuomba akutumie configuration utamwambia model ya simu yako
Wewe kwa kua ni biasharahuru sio ya wizi weka detailz hapa watu wajipimie weka na bei haya mambo ya kila kitu tukucheki huko itakuaje, je na wewe usingejiongeza kusema unauza hizo brand tungekufuata? Umeanza hapa limalize hapa hapa kiongozi
Mkuu hiyo ni feature ambayo ambayo Kwa simu nyingi za kisasa inapatikana kwenye camera zao,kama simu yako ni ya kisasa bas camera yake lazima iwe na hiyo feature ya kuitwa "Portrait" kinaonekana kile unachokilenga Tu,vingine vinakuwa havionekani vizuri kama ulivyoona kwenye picha hapo.Ni app ya ku edit au
Wewe kwa kua ni biashata huru sio ya wizi weka detailz hapa watu wajipimie weka na bei haya mambo ya kila kitu tukucheki huko itakuaje, je na wewe usingejiongeza kusema unauza hizo brand tungekufuata? Umeanza hapa limalize hapa hapa kiongozi
Ok gugo pixel 3xl bei gani na pia 4xlGoogle pixel 3 kwa 400k
Google pixel 3A kwa 360k
Unafanyaje ivo vitu vya nyuma visionekane vizuri, kinaonekana kiatu tu?
Unafanyaje ivo vitu vya nyuma visionekane vizuri, kinaonekana kiatu tu?
Naomba nielekeze.
Mbona napigia kwenye Potrait lakini vinaonekana tu kila kitru??hiyo ni potrait mode kwenye camera.
simu nyingi za miaka ya karibuni zinakuja na hiyo option,au kuna namna ya kuistall gcam katika simu yako.shart isiwe tecno,infinix ama itel
Mbona napigia kwenye Potrait lakini vinaonekana tu kila kitru??