Google payments via western union

morgan7

Member
Dec 21, 2017
13
7
Habari. Wana JF naomben
Naomben munielekeze jinsi ya kutoa pesa kutoka Google AdSense maana nimeona Kuna ki pick. Payment kwenye Western Union ilio kalibu na eneo nilipo ndan ya sku 60. Sasa. Naitaj ufafanuz Zaid Kama. Kunaulazma. Wa ilo au niaje niajee. But. Najua kwamba. Kitambulisho kiambatane na jina. Ila Apo kwenye ku pick kabla ya sku 60. Ndo sjaelewa vzuri
 
Nenda na document ambayo googles wamekutumia ,hiyo document ina vitu vifuatavyo control number,billing id,jina la sender na reciver....hakikisha jina la receiver linakuwa sawa na vitu vifuatavyo kimoja wapo national I’d,passport,voting id or driving license...then utapokea pesa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe kweli hiz hela zipo duu nilidharau mnielekeze wakuu
Nyie si ndio mnatusumbua kila siku mitaani kuwa online business ni utapeli endeleeni KULIMA MATIKITI kama mtatoboa Tanzania hii wakati wenzenu wanaendelea kupiga pesa. But usifikirie tu kupata pesa kwa adsense you can think beyond it's your time to do research but not all businesses online will give you money others WITHDRAW your account and time while they get money. Majirani zetu walianza mapema sana ndio maana ata online marketplace za bongo zimeanza kupitia kwao ndio zikafika hapa.
 
ok sasa nipe mwongozo
 
Back
Top Bottom