Google needs proof

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,415
2,140
Habarini humu...Nina application yangu moja hivi ya Android ambayo ninastream live tv sasa google wameiremove playstore wakisema ninaonesha unauthorized copyrighted material sasa ninawezaje kupata proof ya kuwa hizo url ninahaki kuzitumia ilihali ni za bure tu zipo mtandaoni...Naombeni mnisaidie vipi ninaweza pata proof or written document to prove to google app yangu irudishwe
 
Ziweke kwanza hapa tujue na sisi Nini hiko haijui kizuri ule na nduguyo!
 
Habarini humu...Nina application yangu moja hivi ya Android ambayo ninastream live tv sasa google wameiremove playstore wakisema ninaonesha unauthorized copyrighted material sasa ninawezaje kupata proof ya kuwa hizo url ninahaki kuzitumia ilihali ni za bure tu zipo mtandaoni...Naombeni mnisaidie vipi ninaweza pata proof or written document to prove to google app yangu irudishwe
Ni ngumu kupata leseni kwa kustream kupitia website zawatu

Na Google policy hawaruhusu icho kitu

Ko ni vema ukatengeneza app yako njee ya google ukatengeneza website yako na ukatumia kuipromote kupitia website yako mana copyright law hazitakuacha salama na ukitafuta license zakuhalalisha unatakiwa kuwasiliana na wenye website husikaa unazotumia kupata streaming video izoo
 
Inawezekana huyo unaechukua url kwake ndio mwizi, hivyo hata Kama wewe hujaiba Ila inastream kitu Cha wizi na wewe unakuwa kundi moja.

Kustream tv Kama hizo unatakiwa uwe na kibali mfano unastream itv Tanzania uwe na kibali toka ipp na uwape Google Kama proof.
 
Sasa hiyo proof ntaipata wapi na wakati url ni free tu use mfano url ya aljazeera
 
Ni free to use kwa wao wenyewe Al Jazeera Ila sio free to distribute.

Vitu vingi bure online Ni bure in case unatumia mwenyewe Ila huruhusiwi kukisambaza, ukitaka kuonyesha Al Jazeera inabidi ununue hiyo haki. Hawa unaowaona kina Azam, DStv etc wamenunua hizo haki ama kuomba. Hivyo haviwezekani DStv ama Azam watoe Hela zao then wewe uchukue tu bure na kuweka.

Unaweza Soma mfano wa press release ikiwa umekubaliwa na Chanell Kama aljazeera.

Okay...
 
Back
Top Bottom