Google ikizimwa nini kitatokea?

Hivi umeshawahi jiuliza siku Google ikizimika nini kitatokea duniani?, Maisha yatakuwaje bila google, maana google inakusanya Youtube, Android platform, Gmail, Google+, Google apps, Google maps na vitu vingine kibao!.
Sasa cheki hii mwaka 2013 mwezi wa 8 tarehe 16 Google ilizimika kwa dakika 5 tu kati ya saa 9:50 - 9:55 mchana!, kilichotokea internet traffic ilishuka kwa asilimia 40 duniani!. Yani ndani ya dakika 5 watu wakapoteana kwa 40% hebu fikiria ingekuwa nusu saa au dakika 15 nini kingetokea!?.
Tukio hili Google wenyewe walishindwa sema nini kilitokea zaidi ya kutoa taarifa tu!..
Hiyo ndio nguvu ya Google katika kuamua maamuzi ya dunia!.

View attachment 693821
kwani google isingekwepo we unafikiri tungwekuweje
 
search engine zipo nyingi sema watumiaji wengi ni wa google ko ikizimwa wengi wataathirka lakini wengine watakuja kama ingekuwa law Mda mrefu .....in kama voda ikizimwa watu wataamia wapi so wataenda tigo
 
Kuna application na huduma kama 125+ hivi tunazozitumia kila siku zinatoka Google hapo hujaongelea makampuni yanayomtegemea google!. Yani kama kuanza upya basi tutaanza na 1 sio 10 tena!.
Haishindikani hilo kuanza 0-10 ndani ya muda mfupi kulinganisha na muda uliotumika kabla kuanza 0-10 iliyokuwepo sasa.
Code materials zote zipo vichwa vipo kutakuwa na expenditure kubwa ndio lkn backup plan ita emerge kwa haraka tuu bwana
 
search engine zipo nyingi sema watumiaji wengi ni wa google ko ikizimwa wengi wataathirka lakini wengine watakuja kama ingekuwa law Mda mrefu .....in kama voda ikizimwa watu wataamia wapi so wataenda tigo
Unavyoiongelea google usiifikirie kama search engine pekee!..Inahusika na vitu vingi sana vingine!
 
Tutapoteana sana,Google imezoeleka sana,Nathan itachukua mda sana kubackup na madhara yatakuwa makubwa
 
Google wanajua historia yako yote ya mtandao
 

Attachments

  • Screenshot_2018-02-11-12-12-58.png
    Screenshot_2018-02-11-12-12-58.png
    64 KB · Views: 47



    • Google - 63.9%
    • Bing - 20.9%
    • Yahoo! - 12.9
Tatizo je huko bing utazipata Youtube, Gmail na Google apps maana ukifatilia hadi majina yako unaweza kuta umesave Google contacts!
hii ishu ya yahoo inaumiza Yani mpaka 2011 yahoo ilikuwa the most visited homepage. Yahoo, internet explorer Na Nokia sijui Nini kilitokea
 
hii ishu ya yahoo inaumiza Yani mpaka 2011 yahoo ilikuwa the most visited homepage. Yahoo, internet explorer Na Nokia sijui Nini kilitokea
Nahisi marketing strategies na kutokubali endana na wakati kumewaponza!..Ukichukulia kama Blackberry nae hadi kanyoosha mikono kulifata soko!..
 
Hivi wewe unajua dola bil 20?popo ww,unakuwa kama yule aliyesema eti tumekamata dola bil 1 airport,vitu basic kama hv hujui?unasafr ndefu sana ya kujifunza mambo,I know many of ur kind
Wewe ndio boya unakurupuka bila kutumia akili kujibu hoja nzito,mtu akikwambia unga kilo moja ni bil 50 sio kwamba haujui bei ila anataka ufe njaa.Ni lini utaanza kufikiri kwa kutumia akili
 
Hahaha nchi itafutika maana watawala wana Google hata barua kuimba misaada, ikutoweka wataandika kwa kilatini, Papa Francis atapata shuda sanaa, hataangalia shilawadu.
 
Mleta mada una habari kuwa kuna nchi hapa duniani hazitumii google na maisha yanaenda? Nchi kama Russia au North Korea .. Fanya research yako vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom