Ulipata?Aisee Nmetafuta configs za A71 mbalii Mpaka kwnye magroup ya telegram Ni View attachment 1904136
Eeeeeh man ,Nliipeleka samsung wakanipiga 300k wamenifungia mashine mpya kutoka china.Simu yako imepona mkuu?
Wenye a52 tupo upande ganiHapo vipi wakulungwa na picha ya usiku tulivu Kwa hisani ya GcamView attachment 1874974
Hatar sana mkuuGcam Nikita V 2.0 View attachment 1912841
Kuna mtu Nilikuwa nampiga picha maeneo hayo,baada ya kuziona picha zilivyotokea anaitaka gcam na yeye hahaha nikamuambia tatizo ni Infinix unatumia.
Kwisha habari yakeKuna mtu Nilikuwa nampiga picha maeneo hayo,baada ya kuziona picha zilivyotokea anaitaka gcam na yeye hahaha nikamuambia tatizo ni Infinix unatumia.
Chief nakuomba uifikirie na uifanyie kazi hii huawei y9 prime 2019,
Hyo hakuna mkuu...Chief nakuomba uifikirie na uifanyie kazi hii huawei y9 prime 2019,
Mkuu, msaada tuta.. Nahitaji ya Mi 11 lite. Actually ninayo lkn sijaikubali. Unaweza kuwa na option nyingine please.
Sais unatumia ipi?Mkuu, msaada tuta.. Nahitaji ya Mi 11 lite. Actually ninayo lkn sijaikubali. Unaweza kuwa na option nyingine please.
Daah not sure niliipata kwenye site ipi but details zake ni hizi
Nenda kweny settings za gcam angalia kama kuna sehem ya about unionyesheDaah not sure niliipata kwenye site ipi but details zake ni hizi View attachment 1914794
Hii hapa.Nenda kweny settings za gcam angalia kama kuna sehem ya about unionyeshe
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app