42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,811
GCAM ya S8 plus hiimkuu s8+ inakubali??????
View attachment 1868450
View attachment 1868451
View attachment 1868453
View attachment 1868452
GCAM ya S8 plus hiimkuu s8+ inakubali??????
Simu gan mkuuuDuuu mimi kila nikiweka configuration inatulia kidgo alaf badae inchafuka sa sijui nakosea wapi
Hii zipo kibao...pakua nikitamkuuu im back again kama kuna namna naomba unisaidie G cam version ya Redmi note 9s
Regards
Yan A series mkuu pasua... labda a51, a50,a52 na a72 uhakikaMkuu na sie wa
Samsung A20 KAVU
Unatumia configuration yyte?Tunaendelea kutest mitamboView attachment 1863167
Redmi note 9 pro
Hapana mkuu, me nimeidowload Tu, sijui kuhusu kuweka configuration
Aisee unakosa utamu..unatakiwa uwe na configuration kuenjoy zaid..unatumia gcam gan!Hapana mkuu, me nimeidowload Tu, sijui kuhusu kuweka configuration
Nikita 7.4 nadhani
nasikia iPhone hana mpinzani kwenye camera ni kweli?
Ata sielewi mkuu kama ndo inaitwaje Ila ni hii Nikita-7.4-V.1.7-Dennis-mi10ultraAisee unakosa utamu..unatakiwa uwe na configuration kuenjoy zaid..unatumia gcam gan!
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ni porojo tu hizo za isheep...mbona tukikutana nao wanaomba tuwapige na google cameranasikia iPhone hana mpinzani kwenye camera ni kweli?
Anhaa configuration unatumia zipi?Nikita 7.4 nadhani
Kama ni nikita ngoja niangalie hapa kama naweza kukuwekea configuration udownloadAta sielewi mkuu kama ndo inaitwaje Ila ni hii Nikita-7.4-V.1.7-Dennis-mi10ultra
Izo apo chini mkuu
Hapa jf configuration hazikubali.kua uploaded...kama upo telegram nikutumieAta sielewi mkuu kama ndo inaitwaje Ila ni hii Nikita-7.4-V.1.7-Dennis-mi10ultra