Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,364
- 35,002
Ni balaa
Ni balaa
Mzee huu uzi ni wa gcam..so hyo ni google camera..stock haiwez fanya hilo balaaa
Mzee kcamp , nisaidie kwa mi 8 lite mzeeMzee huu uzi ni wa gcam..so hyo ni google camera..stock haiwez fanya hilo balaaa
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hapo ndio unapofurahia simu na hela yako imetumika vizuri
Kabisa mzee..Hapo ndio unapofurahia simu na hela yako imetumika vizuri
Mzee kcamp , nisaidie kwa mi 8 lite mzee
Upo sahihi mkuu,hapo kwenye settings ndo mtihani Kwa watu wengi....Hapana..mkuu...mpaka sasa hakuna..na ingekuepo basi ungeona developers wanaport hiyo camera ya simu kweny simu zingine...google peke yake ndio mweny camera iliyo ported kwa simu zingine zote...imagine mpka one plus kaanza kuiwekea limitation gcam kweny update mpya..na watu wakwawashia moto kweny forum yao..waache ukuda watoe limitations
Ukiona gcam haijatoa picha nzuri jua setting zako hazipo vzr...au gcam hiyo sio nzur kwa simu yako...ndiomana kuna configs files skuiz kwaajil ya setting nzur kama huwez kuiset mwenyew...
Mpaka sasa hakuna stock inafanya maajabu ya gcam
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Yes mzee..na ina setting kibaoUpo sahihi mkuu,hapo kwenye settings ndo mtihani Kwa watu wengi....
Mtu anaiweka akidhan atapiga picha nzur anasahau anatakiwa aitwist
Kinacho matter zaidi ni size ya sensor. Ndio maana unakuta 48MP zingine zinazidiwa quality na 12MP sensors. Kma camera ya 108MP itakua na sensor size ndogo kuliko ya 48MP, hyo 48MP itakua na quality nzuri ila resolution ndogo.Camera ya 108mp na 48mp tofauti yake ni ipi inayoonekana kwa mtumiaji wa kawaida?
Mi nimeweka hii kwenye note 8 yangu, https://www.apkmirror.com/apk/googl...amera-7-0-009-259843690-android-apk-download/Astrophotography on
Angalia sky hiyo...huko juu kuna giza la mvua nyota za kutafuta..ila astro imeona kama mchana...
Mda ni saa tano usiku
Gcam BSG V8.1
View attachment 1753373
Nilikupa zipi?Mi nimeweka hii kwenye note 8 yangu, https://www.apkmirror.com/apk/googl...amera-7-0-009-259843690-android-apk-download/
Je niko sawa?
NB zile ulizonipa ziligoma.
hukupata version nzuri kwa ajili ya samsung A50?Nilikupa zipi?
Mbona note 8 una support gcam nying sana mkuu
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Ulinipa za parot zikagoma zote.Nilikupa zipi?
Mbona note 8 una support gcam nying sana mkuu
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app