kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,514
- 7,909
- Thread starter
- #2,701
Naweza kuitumia kwa Nokia1Hapana..mkuu...mpaka sasa hakuna..na ingekuepo basi ungeona developers wanaport hiyo camera ya simu kweny simu zingine...google peke yake ndio mweny camera iliyo ported kwa simu zingine zote...imagine mpka one plus kaanza kuiwekea limitation gcam kweny update mpya..na watu wakwawashia moto kweny forum yao..waache ukuda watoe limitations
Ukiona gcam haijatoa picha nzuri jua setting zako hazipo vzr...au gcam hiyo sio nzur kwa simu yako...ndiomana kuna configs files skuiz kwaajil ya setting nzur kama huwez kuiset mwenyew...
Mpaka sasa hakuna stock inafanya maajabu ya gcam
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ni kawaida mzee mana kitu kinachofanyika pale sio mchezo..matokeo yake si unayaona mwenyew?Ni kawaida astrophotography kuchukua hata dakika 3 na zaidi au ni issue ya config?
Naona astro hapo inafanya yakeNight sight ni balaa sana
With Flash:
View attachment 1753381
With Night Sight:
View attachment 1753382
Inavyonekana kabla hujapiga picha:
View attachment 1753384
After processing is done unaona kabisa baadhi ya nyota na hapo mkono ulikua haujatulia kma wanavyotaka:
View attachment 1753385
Hapana mkuu hyo ndogo sanaNaweza kuitumia kwa Nokia1
Bei gani hio mkuukcamp big up brother kwa dedication yako ya kujibu maswali kwenye huu uzi hadi leo.
Nipo na Pixel 4 hapa. Camera moja matata sanaView attachment 1747548
Thanks much bro...tupo pamoja hadi wadau wote wapate haya mambokcamp big up brother kwa dedication yako ya kujibu maswali kwenye huu uzi hadi leo.
Nipo na Pixel 4 hapa. Camera moja matata sanaView attachment 1747548
800k njeBei gani hio mkuu
Simu gani hii
Uliagiza nje?
Walikupiga kodi sh ngap?