Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Astrophotography on
Angalia sky hiyo...huko juu kuna giza la mvua nyota za kutafuta..ila astro imeona kama mchana...
Mda ni saa tano usiku
Gcam BSG V8.1

PXL_20210415_221046928.NIGHT.jpg
 
Hapana..mkuu...mpaka sasa hakuna..na ingekuepo basi ungeona developers wanaport hiyo camera ya simu kweny simu zingine...google peke yake ndio mweny camera iliyo ported kwa simu zingine zote...imagine mpka one plus kaanza kuiwekea limitation gcam kweny update mpya..na watu wakwawashia moto kweny forum yao..waache ukuda watoe limitations

Ukiona gcam haijatoa picha nzuri jua setting zako hazipo vzr...au gcam hiyo sio nzur kwa simu yako...ndiomana kuna configs files skuiz kwaajil ya setting nzur kama huwez kuiset mwenyew...

Mpaka sasa hakuna stock inafanya maajabu ya gcam

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Naweza kuitumia kwa Nokia1
 
Ni kawaida astrophotography kuchukua hata dakika 3 na zaidi au ni issue ya config?
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom