Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Ukweli kabisa ukifatilia vizuri Kuna source niliipata gsm arena inaonesha simu zenye kamera Bora, simu za Google pixel hata kumi bora hazimo, Huawei P 30 Pro aliongoza, halafu Samsung Galaxy S10 5G akafuata Oneplus 7 Pro, Honor 20 Pro, Mate 20 Pro, P 20 Pro, ........
Pixel noma mkuu...zile hazitak kelele..siku uwe nayo mkononi ndio utajua balaa lake...

Sisemi brand zingine hawana camera kali..ila pixel hawakosei camera

p30 pro nuksi
 
Simu zinazoongoza kwenye camera ni pixel
Hamna sim inayoifikia
Na kama apo hawakuiweka walikosea na hao si wa kuaminika, au myb waliweka camera features na sio quality
 
Ungeweka na picha mkuu
hii stock camera ya RN7PRO
IMG_20190804_174027.jpeg
 
Pixel noma mkuu...zile hazitak kelele..siku uwe nayo mkononi ndio utajua balaa lake...

Sisemi brand zingine hawana camera kali..ila pixel hawakosei camera

p30 pro nuksi
Vipi kuhusu NOKIA 9 PUREVIEW, maana naona wanasema ni only for professional photographer
 
Back
Top Bottom