The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Mkuu iko hivyo.Mmmh unajua GCAM inajulikana japo ni simu yako ila Gcam wenda ni hii ya chini stock camera haiwezi kuwa hivi imeng'aa angalia vizuri kisha rekebisha maelezo.
Mkuu iko hivyo.Mmmh unajua GCAM inajulikana japo ni simu yako ila Gcam wenda ni hii ya chini stock camera haiwezi kuwa hivi imeng'aa angalia vizuri kisha rekebisha maelezo.
Sawa boss wangu.Mkuu iko hivyo.
Poor Quality Photo
Tatizo hiyo gcam ya s10 ya chip yako ni changamoto..kama hivyo wmeziweka 3 tofaut...na haiko stable bado..Mkuu nimezipakua ila sijaona tofauti. Lakini pia nimesoma kwenye hyo blog watu wengi hawajaona tofauti kati ya stock na gcam.
Ukija kwenye night mode hakuna tofauti maana update ya july kwa s10÷ iliboresha night mode cam, so hakuna tofauti ingawa mimi sio professional cameraman ila naweza kutofautisha.
Naipata wapi mkuuTatizo hiyo gcam ya s10 ya chip yako ni changamoto..kama hivyo wmeziweka 3 tofaut...na haiko stable bado..
Night sights ya gcam, stock camera haifati,hata potrait yake nyoko sana
Jarbu kusaka stable version yenye feature zote kwenye moja..utafurahi
Hapana!
Mi mwenyewe nimepinga ujueHapana!
Alafu kuna config file ya night sights pale kweny link..ulitakiwa uiweke nayo,umefanya hivyo?Tatizo hiyo gcam ya s10 ya chip yako ni changamoto..kama hivyo wmeziweka 3 tofaut...na haiko stable bado..
Night sights ya gcam, stock camera haifati,hata potrait yake nyoko sana
Jarbu kusaka stable version yenye feature zote kwenye moja..utafurahi
Hapana!
Mfano hapa umeona Gcam imeng'aa sina hakika hakika kwa s10+ ising'ae itokee imefifia.
Nachoona ni kwamba portait ya GCAM picha inakuwa inakuwa kama umeizoom kiaina ndo hicho kinawachanganya wadau.Hahaha! Inabidi hapa tumuite professional photographer aisee! Maana?!
Yep kwenye bokeh effect ipo njema sana tena sana, ila kosa ni wadau wanatuaminisha kwamba,.. hakuna kama GCam, ni kosa! Kwani unadhani hana wapinzani walioona mapungufu ya App zao za camera na wameboresha?!Nachoona ni kwamba portait ya GCAM picha inakuwa inakuwa kama umeizoom kiaina ndo hicho kinawachanganya wadau.
Hayo ni maoni yangu tu
Yep kwenye bokeh effect ipo njema sana tena sana, ila kosa ni wadau wanatuaminisha kwamba,.. hakuna kama GCam, ni kosa! Kwani unadhani hana wapinzani walioona mapungufu ya App zao za camera na wameboresha?!
BTW
Plants: my favourite kind of shooting. Absolutely no-edit pictures, btw. It's not me, it's Teampixel! Google camera!madebygoogle
View attachment 1170592View attachment 1170593View attachment 1170594View attachment 1170596
Hizi shots hatar mkuu
Mimi Camera 2 api ipo Ila sipati P9 HuaweiNimeona link,ila ku istall kwake lazma uwe umeroot simu ku enable camera 2 api
Jamani! kwanini mnambishia? Kwani GCam pekee ndio camera nzuri? Hii GCam kwenye reviews nyingi wanaisifu kwenye low light photos na hii feature yake ya night sight tu, ila kwenye picha za mchana bado pixel anakalishwa na simu nyingi tu.