mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,309
- 942
IyoAngalia post 383 fuata maelezo
IyoAngalia post 383 fuata maelezo
8 mkuuAndroid 7 mkuu?
Hii imekubali,kuiset naenda wapigoogle camera v 5.0
MediaFire is a simple to use free service that lets you put all your photos, documents, music, and video in a single place so you can access them anywhere and share them everywhere.www.mediafire.com
Jaribu hii mkuu tuone
Hii imekubali,kuiset naenda wapiView attachment 1098790
Ehe nilikuwa sehemu ambayo haina taaNdo ipo hivyo giza?
Hamna siioni hapa mkuuAnhaa vip option ya potrait ipo?
Kwenye vimstari vitatu hapo juu kushotoUmeangalia wapi?
Ingia setting kisha angalia neno BSG kama lipoKwenye vimstari vitatu hapo juu kushotoView attachment 1099025
Silioni hapoIngia setting kisha angalia neno BSG kama lipo
Silioni hapoView attachment 1099028
Mkuu ku enable camera 2 api ni process ,inatakiwa simu yako iwe rooted kufanya hilo zoezi..sasa ww simu yako ipo rooted?
Hii ni S6 na Android yake ni 8 mkuuView attachment 1098542
Hivi kuna uwezekano wa kuweka android 7 kwenye S6?Ebu nione android version,s6 haina android 8 incase umeweka custom rom