Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
8,514
7,909
Wakuu bila kupoteza muda, Nimeshangaa kuona jukwaa la tech hadi leo hii hakuna uzi special wa GCam au Google camera.

Haina ubishi, hii ndio app bora ya Camera kuwahi kutokea,ambayo imetengenezwa na google wenyewe

Utakubaliana na Mimi kama tu umeshawahi tumia simu zao za pixel, zile simu zinapiga picha hatari. Hii yote imetokana na App bora ya camera waliyo nayo,ukiachilia camera specs.

FEATURES

Hii app ina features nyingi tu ila kubwa ninazoona ni 3 tu

1. GCAM POTRAIT MODE
Hii inajulikana kama bookeh effect au potrait mode kama nilivyo itaja, Hii ni ile feature ambayo camera inakua ina focus kwenye subject tu na kupotezea background huko nyuma, Nadhani ushaijua,Sasa potrait ya Gcam ni balaa maana inapiga mbele na nyuma,kwa maana hadi selfie camera ina potrait mode

hivyo kama utafanikiwa kuinstall basi utaenjoy hiyo feature na kuwashangaza marafiki zako as if unatumia Canon

2. HDR PLUS
Gcam inakuja na feature ya hdr+ ambapo picha zako zitaku very rich na hdr effect na kuzifanya kua bora zaidi ya stock camera.

3. Optimized Night mode
Kwa wale wazee wapenda picha za usiku basi Gcam ndio kiboko yake, hapa utapata great night shots kuliko stock camera ya simu yako.

DOWNLOADS

Sasa kwakua App hii ni special kwa sim za google na other android one devices basi ndio hapo kuna developers tofaut wakaweza ku port hii app kwa device zingine ili na sisi tuenjoy.

Hapa chini ninaweka link ya Gcam Hub ambapo ni kama center ya hizi app kwa simu zetu.,,hivyo utaingia na kusaka port sahihi ya simu yako



au pia unaweza nenda google Gcam for your device na ukapata link nzur zaidi.

make sure unafata maelekezo kama yatakuepo katika process ya kuintall


##Kabla ya kutaka kuweka Gcam hatua ya kwanza kabisa unatakiwa kucheki kama simu yako itasuport Gcam kwa njia rahisi tu..yani kujua kama inaruhusu modification za camera...


tumia hiyo app kisha start and then weka result hapa

CHANGAMOTO

challenge kubwa ni ku crash kwa app kwa baadh ya simu hii ni kutokana na app hii kua ported na developers tofauti,hivyo usichoke kuchange port ya developer mwingine kama uliyo nayo inasumbua.

Wazee wa MTK devices hii kitu msahau tu,hakuna port ya mtk hadi sasa,,yani wakina Tecno na ndugu zake wote.

Baadh ya pics za Gcam naweka hapa chini,ila tu siwezi post sura yangu kwa privacy,nitaweka za wenzetu kutoka grup yaGcam huko facebook na baadh nilizopiga kwa sim yangu.



FB_IMG_1557648509862.jpeg
FB_IMG_1557648519384.jpeg
FB_IMG_1557648559504.jpeg
FB_IMG_1557648536052.jpeg
FB_IMG_1557648620997.jpeg
FB_IMG_1557648690265.jpeg
20190204_162124.jpeg
20190211_131652.jpeg
 
Google Pixel 3 series ndio the best cameras kwenyr soko kwa sasa despite the fact that simu zina rear camera moja tu.

These guys are the masters of computational photography ila ukitaka the most versatile camera, then Huawei P30 Pro hana mpinzani.

Nategemea Pixel 4 itakuwa na two rear camera moja ikiwa maalumu kwa kuchukua wide angle shots.
 
well said mkuu...jamaa ni nuksi hawa,,

p30 hawajakosea kitu...na ile zoom yake sasa
Google Pixel 3 series ndio the best cameras kwenyr soko kwa sasa despite the fact that simu zina rear camera moja tu.
These guys are the masters of computational photography ila ukitaka the most versatile camera, then Huawei P30 Pro hana mpinzani.

Nategemea Pixel 4 itakuwa na two rear camera moja ikiwa maalumu kwa kuchukua wide angle shots.
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom