Google adsense

Alfred

JF-Expert Member
Apr 13, 2008
1,636
1,876
habarin wakuu kama ilivo ada watu wa hili jukwaa LA sayansi huwa tunatoa facts na possibilities katika mambo ya sayansi... sasaa kutokana na hiyo heading napenda kujua ni kwa namna gani google wakubali kunipa account ya AdSense kwa sababu nlisha apply sanaa wanadai nakosea na blog yangu haijakidhi vigezo naombeni wadau mnisaidie katika hili natamani niwe na AdSense akaunt ..... Ahsanten
 
Weka link ya blog yako tuione kwanza
 
Nakushauri ununue kasave time. Gharama inacost elfu 50 mpaka laki.

Now days google wamekuwa verystrict.

Ila kama unataka stil fanya hivi uwe na blog yenye umri zaidi ya miez 6. Kisha iwekee domain mfano juma.com kisha tengeneza post za kingereza 200 zenye picha na maneno yasiyopungua 300... usiwe umecopy habari .... kisha share blog yako ipate viewrs angalau elfu 5.

Hapo lazima wakupe acc
 
ntakucheck inbox
 
Back
Top Bottom