Goodluck Haule among top suspect wanted by Tanzania Police Force

Ushoga ni tatizo hasa mikoa ya Arusha, Iringa na Mwanza inafuata kwa karibu sasa. Tofauti na wengi wanavyodhani kuwa Dar na Pwani ndio zina mashogo wengi.
 
Mbona haya mambo hayana din ni ushetan tu.ata maustadh wana kashfa kibao.mambo haya yapo pwan zaid ya bara.pemba mombasa n.k uko kote ni wamishenari!ingekuwa ivo basi sehemu zenye wakristo wengi ndizo zingeathiliwa zaid.yaan bara. Unaona kanisa la catholic linaandamwa na kashfa hiz sabab wazungu wanapenda uwazi.
Uarabun ni mambo yao.ila ni siri sana.
 
Mbona haya mambo hayana din ni ushetan tu.ata maustadh wana kashfa kibao.mambo haya yapo pwan zaid ya bara.pemba mombasa n.k uko kote ni wamishenari!ingekuwa ivo basi sehemu zenye wakristo wengi ndizo zingeathiliwa zaid.yaan bara. Unaona kanisa la catholic linaandamwa na kashfa hiz sabab wazungu wanapenda uwazi. Uarabun ni mambo yao.ila ni siri sana.
UKISIKIA YALAAH UJUE LIMEMPATA
 
Itafika mahali sisi wananchi inabidi tuchukue hatua kulinda maadili yetu, Utu wetu, utamaduni wetu, Mila na desturi zetu pia kuwalinda watoto wetu na jamii dhidi ya ushetani huu. Serikali inaogopa kufungiwa misaada na hao wanaowaita mabeberu.
Sidhani Kama hapa unalinda maadili. Umemtangaza huyo jamaa wengine tulikuwa hatumjui.
 
njaa kitu mbaya sana, adi watu wanaanzisha NGO za kutetea mapunga, ili mradi donation zijee????
 
Back
Top Bottom