Goodluck anayetajwa Sana kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Kama mlivyozalisha Hamza. Ambaye hakumuachia Mungu. Auwae kwa upanga atakufa kwa upanga.siku yake inakuja na mwenyewe anajua

hakuna kuacha kenge watamalaki.

hamza alivuna alichopanda,japo wafanyajazi wake mlitaka akamatwe aseme kaporwa madini.
 
Sio kila mtu atadakwa wengine wapo instanbul, wengine Newyork, London, wengine Oman, Paris,,,na hatuna mpango wa kurudi taga wewe

umbali unapimwa na impact yako,kama ina thamani kiasi kikubwa utafatwa hata ukienda pluto.
 
siku zote kuwa mtu chanya.

wakati wengine wanaficha sura zao,ni ili wewe upate nafasi ya kuweka yako kwa amani huku unalamba lipsi.

weka yako.
Na uovu utakutesa sana. Maana Uovu hautamuokoa yeye aliyeuzoea. Tunaweka sababu hatutesi kuuwa wala kuwaonea watu wengine. Kazi kwako unayetumwa uwa mtu na unauwa. Mungu akusaidie Sana ili wenye Dhambi wakikushawishi ukatae kuuwa.
 
Mimi ninaomba picha yake tu nimjue ili siku akijifanya anajua nimjue nini cha kumfanya mbele ya polisi wezake
 
hakuna kuacha kenge watamalaki.

hamza alivuna alichopanda,japo wafanyajazi wake mlitaka akamatwe aseme kaporwa madini.
Kaondoka na wake pale. Endeleeni kudhulumu mtazalisha tu Kama wale waliopiga balozi ya marekani.maana mnajiaminisha mnaonea mnyama asiyeweza kufikiri Wala kulipiza kisasi.
 
Kama Rais wa nchi alishindwa vipi kukemea na kuzuia hayo? Huyo ndio mtuhumiwa namba moja, Mwenyezi Mungu ashukuriwe kwa kutuondolea lile BALAA.
IGP na TISs wangejua hilo hao wangeshashughulikiwa.
Nyie michandema mnapenda sana hearsay,rais ana mambo kibao ya kufanya ahangaike na huo upuuzi.
 
Na uovu utakutesa sana. Maana Uovu hautamuokoa yeye aliyeuzoea. Tunaweka sababu hatutesi kuuwa wala kuwaonea watu wengine. Kazi kwako unayetumwa uwa mtu na unauwa. Mungu akusaidie Sana ili wenye Dhambi wakikushawishi ukatae kuuwa.

nani kamuua mwenzake!!!
 
Kaondoka na wake pale. Endeleeni kudhulumu mtazalisha tu Kama wale waliopiga balozi ya marekani.maana mnajiaminisha mnaonea mnyama asiyeweza kufikiri Wala kulipiza kisasi.

point hapa ni kwamba kafa,kama ni shujaa wenu mlimtuma,hatoki mtu.
polisi kufa sio habari,maana ndio kazi waiyoapa kuifanya.

sasa wewe tumbili ukifa ni hasara kwenu.
 
IGP na TISs wangejua hilo hao wangeshashughulikiwa.
Nyie michandema mnapenda sana hearsay,rais ana mambo kibao ya kufanya ahangaike na huo upuuzi.
IGP na TIS wote ni MATAWI CCM, wewe kayafa unatokea wapi?
 
rais akisaidiwa kazi ambazo yeye hajui zinafanyikaje,halafu akakemea tena majukwaani anakuwa amaeingiza siasa.
ataachiwa kazi zimfie.

halafu nyinyi kunguni wachache mnabaki kucheka pembeni.
Kumbe urais ni kupiga uma.laya tu? Na sio kushughulikia kero za wananchi, ninyi vijana wa UVCCM hovyo kabisa.
 
unatishwa ili iweje wewe mbuzi!!!
mpaka umri huo hujajua tofauti ya kutishiwa na kuelekezwa jambo!!!
Kun.guni wewe, hizo kauli zako unadhani zitazuia watu kutoa maoni yao huru? Pumbavu zako
 
Huyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.
Hatari sana
 
Police Wana mafunzo sana pale CCP assume komandoo analia mama niache

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu kama hicho, wamekutwa kwenye mazingira tulivu na hawakutarajia kubambikiziwa kesi za kijinga. Komando akiamua kweli liwalo na liwe hao wapuuzi wataisoma namba makwambia.
 
Back
Top Bottom