Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 1,914
- 2,037
This is what we call KARMA at its best form.Wakati mwingine ukifa unakuwa umesaidiwa.... jamaa anateseka tu.
This is what we call KARMA at its best form.Wakati mwingine ukifa unakuwa umesaidiwa.... jamaa anateseka tu.
Mbona hata mbowe ukimtizama uwezi mzania ni gaidi ,unashangaa nini ? Sisi watu wa legacy ya kizarendo hatutaki kujua habari za mbowe wala goodluck sisi tunataka kujua kifo cha JPM kilitokeaje tokeaje je kunamkono wa mbwa yoyote au la? hichondiyo cha msingi kwetu ,habari za mbowe kuminywa kende hadi zipasuke sisi azituhusuMbona hafanani na ukatili anaofanya? Amekaa kama mchungaji.
sisi tunataka kujua kifo cha JPM kilitokeaje tokeaje je kunamkono wa mbwa yoyote au la?
Kila ubaya utalipwaHope mko poa,
Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck.
Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude juzi alisema aliweza mtambua mmoja wa watesaji kuwa ni afande Goodluck, leo komando Mhina amemtaja afande Goodluck Kama mmoja wa watu waliomtesa sana
Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania.
Wanaomjua huyu jamaa ebu tueleze tumjue mtesaji mkuu wa polisi
Aende tuu pale kijijini aone polisi wanavyoishi km digi digi mtaa wa kati ule hakuna kibaka hata siku moja.wewe ni muongo sana acha ushabiki maandazi hapa umeambiwa waliamua kupambana na hao Polisi??isitoshe umevamiwa na polisi wenye Defender na bunduki uamue kupambana nao kwa mikono si wanakushoot hapo hapo wala usijidanganye hiyo CCP yao na 92 KJ ni mbingu na ardhi.
Km ulisoma ile kesi Adamoo alipigwa sana lkn walipomaliza aliwaomba afanye mazoezi ya kurukaluka sbb akiacha maumivu yatakuwa makali.Hao askali walidata waliposikia hivyo.Hili ni swali la fikirishi, komandoo kuteswa na askari polisi
Kwanini isiweMalukanga+Kibattery+Uviko19 = HAUTOBOI.
Yupo ila aliemtuma ndio karest chato,jamaa huwa anatembelea vx akishuka anapandishwa kwenye wheelchair,alikua best wa bro wng ila toka amekua mlemavu wa risasi za zakaria hawaonani
DouhHuyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.
Huyu si anaishi uraiani?Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania
Naunga mkono hojaHuyu si anaishi uraiani?
Si anajulikana anapoishi?
Familia yake si inajulikana?
Upanga kwa upanga, jino kwa jino ili na yeye apate machungu na mateso aliyoyatoa kwa wenzake!
Damu ya mtu haimwagiki bure Mkuu. Kuna siku ardhi iliyoipokea hiyo damu itanena. Ni suala la muda tu, si umeshaziona dalili ya hawa wauaji kuanzia kujulikana kwenye Jamii??Inawezekana sana kwamba huyu na kundi lake ndio hasa waliomshambulia Lissu kwa risasi. Kwa kuwa hawa ni polisi, mienendo yao inaweza kufahamika kirahisi. Wakati Lissu anashambuliwa, hawa watu walikuwa wapo wapi siku hiyo ya mashambulizi?
Hii ni Dhania tuHuyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.
Kwanini usiongelee siku huyo Goodluck akiingia anga za makomandoo kitu watamfanya? Mungu wake Magu ameishakufa tayariSiku utaingia 18 za kifaa hicho ndio utajua kama kinatesa au laa
Hii ni Dhania tu
'hamka'Yani duniani mtu ana hamka usingizini, anavaa suti anaaga familia, anaendesha gari, ana miliki nyumba nzuri, mke mkali a.k.a pisi, ana account ya benki, anapokea mshahara, ana watoto wazuri, warembo, halafu kumbe ni mtesaji
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, ajira nyingine bhana