Good news: Money Heist is back

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,727
10,023
Wale wapenzi wa Money heist season 5 imerejea. Mtandao na watayarishaji wa series hii wametangaza official date ya kutoka kwake.

Part 1 itatoka SEPTEMBA 3
Part 2 itatoka DESEMBA 3.

Tukae mkao wa kula.
 
wajinga hao sio wa kuwaamini wanacheza na attention ya watu tu, mwanzo walisema april, april imefika wakasema mpaka 2022 kwa maana hiyo walitumia april fool kutufanya sisi wajinga.

saizi wanasema september

Wakae nayo tu waangaliage wenyewe kama vipi
 
Tuwe na subra wanasema covid iliwatinga!
Hii inayokuja kuna vipande wali shoot kwa shida kipindi cha lockdown nyingine wanamalizia wa2 wanapotoka.
Wanasema season ijayo ndio ya mwisho.
 
Kuna yule jamaa anaitwa Arturo kama hatauwawa kwenye season 5. Basi mimi nitaenda mwenyewe Spain kufanya hiyo kazi ya mauwaji #hahahaha
 
Kuna yule jamaa anaitwa Arturo kama hatauwawa kwenye season 5. Basi mimi nitaenda mwenyewe Spain kufanya hiyo kazi ya mauwaji #hahahaha
Hahaaa yule anacheza movie yake mwenyewe ndani ya movie kuu. Usishangae akaibuka hero. Labda undercover yule😅

Arturo_Roman_Bomb_Strapped.png
 
Seasons zenye akili zilikuwa One na Two nyingine ni muendelezo wa utoto na ujinga hamna la maana wana force tu. Sisi watu wazima tulishamaliza hadith kwenye season 1 and 2 labda 3 kidogo kama wangejua kucheza na stories. But hizi nyingine hakuna cha maana ni ku pro long tu hadithi isiyo na kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom