Good news for gamers

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
inakuaje wakuu? kwa wale gamers nataka niwapashe habari njema,in no time nitatia mkono wangu kwrnye kitu cha fifa 12. kwenye ijumaa this week nitakua nimeshaipata and guess wat? nitaisupply for free. all you need ni empty dvd then we can arrange meeting nakuwabania. ningeweza kuiweka online ila ina gb za kutosha na kwa internet yetu ya modem hii it will take longtime. pamoja sana wakuu
 
kaka tunasubiri kma kikombe cha babu
 
dah sasa mkuu kwa wasiokuwa mjini hapo itakuaje...maana inahusika sana hiyo kitu...!!
 
ya ps3 huwez pata ya kuchakachua ni OG tu!! Na ya pc unaeza pata kwnye torrents ila ina Gigs za kutosha...fifa 12 imepata 9.5 score IGN ..mzeewaloliondo huwez kuicompress??
 
wakuu ngoja nitajaribu kuicompress. ivi winrar iko poa? atlist ibaki kwenye kaukubwa flani reasonable then ntaupload nakuiweka iwe shared online ila kwa gamers wa hapa dar nafkiri tutasomana tu coz makazi yangu kwa sasa ni pale posta iakua muzu
 
hio kitu nimeshaiweka mikononi tokea juzi. Now new features nyingi kwel kwel
 
imagine customers wote wa EAS wangekuwa 'generous' kama wewe....
 
i wonder game yenye zaid ya gb 4 munaekaje kene cd? Au ni setup ya demo? Limeshachakachuliwa? Au linaekwa vipande vipande?
 
wakuu ngoja nitajaribu kuicompress. ivi winrar iko poa? atlist ibaki kwenye kaukubwa flani reasonable then ntaupload nakuiweka iwe shared online ila kwa gamers wa hapa dar nafkiri tutasomana tu coz makazi yangu kwa sasa ni pale posta iakua muzu
itakuwa poa sana mkuu maana hizi za kwenye torrents naona nyingi bado zina problem ya ku crash kwa sasa...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom