Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,047
- Thread starter
- #41
factFrom zero to a hero!
factFrom zero to a hero!
falseunakuta hizo 45 shares zina mkataba ndani ya mkatabamaana wewe umewekwa tu hela sio zako watu wanafanya Laundering ya hayo mahela
vyote kwa pamojaMiliki yake kiaje? na Hiyo tower ni mnara wa kurusha matangazo ya redio au satelite ya TV?
hawaniwezi
huyo hajulikani hata buza sawa dogoMkuu namkubali diamond ila apo kusema kwamba ndo mwanamuziki anamiliki radio na television afrika sio kweli kuna mwanamuziki anaitwa salif keita yupo mali uko ana media house tangu miaka ya 90 na ana mpunga mrefu tu.
Lakini kama upo karibu naye, mwambie asisahau jinsi JK alivyomsaidia kumnyanyua 2010. Kweli alimbebafact
falseKama wavulana asilimia 90 ni mashoga
Kama wasichana ....ni vile vimalaya
Mtoto wa kiume hauwezi ukashikwa kiasi hiki
Content na Tittle sawa na mbingu na ardhi havina connection hata kidogo....
falseLakini kama upo karibu naye, mwambie asisahau jinsi JK alivyomsaidia kumnyanyua 2010. Kweli alimbeba
Mkuu hajulikani? Huyo jamaa ni maarufu sana ni moja kati ya wanamziki wenye hesima Afrika sema mziki wake si wa kizazi chetu cha akina dimaond na davido. Halafu ni albino. Utajiri wake unakadiliwa kuwa wa kiasi cha dollar milion 47, hiyo ni zaidi ya bilioni 90 za Kibongo.huyo hajulikani hata buza sawa dogo
false
Maharufu_ maarufu, kumsaidia mzazi wake ni maamuzi yake binafsi,kwanini kama mzazi hakupigania kumsomesha au kumpatia mahitaji yake tangu utoto wakehaya masystem ya kutanguliza watu maharufu kwenye miradi mikubwa wanatumia sana wanasiasa na Mafia groups duniani kote!!
mifano ipo Mingi...hapa Tanzania unashangaa mfano Masanja Mkandamizaji in few years anamiliki mali zenye thamani ya mabilioni,wakati kina marehem Majuto,mzee Small n.k wamekufa hoeae masikini wa kutupwa japo wamechekesha jamii ya kitanzania for decades!! Erick Omond,Churchil ,Klint the drunkard wa Nigeria anafanya show nyingi na ni maharufu na Nigeria ina watu wengi wanaoangalia comedy lakini yeye na hawa wa Kenya wana utajiri wa kawaida!! Joti au Mpoki wana wapenzi wengi na wanafanya vizuri kuliko Masanja!! ila Masanja kawapita kwa mali...je ni mchele wa Ubaruku tu???na Kulala juu ya mafyover
Wanamziki kama Wale Wa Njenje,Sikinde,Kila late Remy Ongala,Moshi William Hamza Kalala na Wengine wameimba mziki ndani na nje ya Tanzania..Wengi wao wamefariki ata nyumba ya chumba kimoja awana.Diamond Baba ake mzazi mpaka leo hii anauza viatu vya mtumba anavyonunua pale Karume! aingii akikini mtu mwenye background kama yake na ukizingatia piracy ya music/movie za Kitanzania awe na pesa na mali ambazo anaonyesha kwenye social media...Ila ata last akuna siri chini ya jua...ipo siku all will be revealed
Ndege Binafsi aliyonunua mwaka 2014 bado haijafika?Kweli ambaye amepewa kapewa tuu, na huu msemo umejidhihirisha mbele yaDiamond Platinumz kuwa ndo msanii ana yejituma kwa bidii zote kuliko msanii yeyote hapa bongo.
Pia ndo msanii ambaye anamiliki TV na radio Africa nzima pekeake.
Pia ndo msanii ambaye Tv na radio yake kwa Mara ya kwanza vitakuwa vinapatikana kwenye miliki yake, na sio kama radiona Tv Kama clouds, efm na nyingine zinazotegemea leasing area ili kuoperate.
HAIL TO DIAMOND PLATINUMZ THE G. O. A. T
Utajiri wa kibongo kumiliki gari na nyumba ya vyumba viwili.Sasa unataka awe na utajiri wa kiUSA wakati yeye yuko bongo!!! Serikali yako tu ya TZ haifikii pato la Dr. Dre kwa mwaka 2019...
Wasanii wa bongo wanapenda kuigiza maishaBado iko kwenye makaratasi tu, hata tofari hakuna!
Huyu mwenye 2% angeuza hisa kwa mondiJuhayna Zaghalulu Ajmy - 53%
Nasibu Abdul Juma - 45%
Ali Khatib Dai - 2%