Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Non Sense!!!!!!! TCRA si wameweka wazi wamiliki na hisa za wasafi? Mbona unajitoa ufahamu? Mnaona JF wamejaa maburula kama nyinyi? Huyo msaniii wenu kupata vijishare vya wasafi mikelele mwaka mzima,je angekuwa na 100% share si tusingelala? Ebu mwambie awagugo kina Dre , Diddy ,Birdman walivyo na ma investment ya hatari halafu hawana YOWE hata kidogo!! Huyo msanii wenu ana utajiri wa kibongo tu.
Majizzo ana ngapi EFM?
 
wewe ndo boya kabisa, wakati ana utajiri wa $10 million ndo ashindwe $1 million
Harmonize alikuwa anadaiwa 500mil akauza nyumba zake 3 lkn bado hazikutosha kulipa deni ebu imagine yani mpk mtu unaanza kuuza asset manake umeshikwa pabaya bank hakuna kitu lkn ukiingia youtube utaambiwa harmonize ana utajiri wa 5 bilion + halafu unashindwa kulipa 500mil mpk unauza asset
 
Mkuu hajulikani? Huyo jamaa ni maarufu sana ni moja kati ya wanamziki wenye hesima Afrika sema mziki wake si wa kizazi chetu cha akina dimaond na davido. Halafu ni albino. Utajiri wake unakadiliwa kuwa wa kiasi cha dollar milion 47, hiyo ni zaidi ya bilioni 90 za Kibongo.
Mimi mwenyewe miziki yake siielewagi naonaga kama anapiga mayowe nadhani kutokana na lugha anayotumia ila ni kati ya wasanii wakubwa toka Afrika na wanaoheshimika sana mpaka kwa wazungu.
sawa but hiyo ni mzee
 
Non Sense!!!!!!! TCRA si wameweka wazi wamiliki na hisa za wasafi? Mbona unajitoa ufahamu? Mnaona JF wamejaa maburula kama nyinyi? Huyo msaniii wenu kupata vijishare vya wasafi mikelele mwaka mzima,je angekuwa na 100% share si tusingelala? Ebu mwambie awagugo kina Dre , Diddy ,Birdman walivyo na ma investment ya hatari halafu hawana YOWE hata kidogo!! Huyo msanii wenu ana utajiri wa kibongo tu.
Yani kabisa unamfananisha Mond na kina Dre?

Stop hating and get inspired
 
Harmonize alikuwa anadaiwa 500mil akauza nyumba zake 3 lkn bado hazikutosha kulipa deni ebu imagine yani mpk mtu unaanza kuuza asset manake umeshikwa pabaya bank hakuna kitu lkn ukiingia youtube utaambiwa harmonize ana utajiri wa 5 bilion + halafu unashindwa kulipa 500mil mpk unauza asset
sijasema harmonize nimesema diamond platinumz sawa baba lao
 
Back
Top Bottom