Good Job Wizara ya Utalii....

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
Sina uhakika sana na uchapaji wa kazi wa waziri wa wiza hii, na especially kwamba anatoka chama kilekile cha mafisadi.
Lakini kwa kutoa tamko hili ameonyesha umakini mkubwa katika kazi yake kwa kulitoa muda muafaka. Mara nyingi tunasemwa kwa kutokuchangamkia fursa kama hizi zinapotokea na kusababisha kupitwa na majirani zetu. Good job waziri , ikiwezekana ipelekeni taarifa hii ikatangazwe kwenye gazeti lao la Daily Nation.

1zKrmIV8WkpfyX3aAl3rl4B4Jfh2Abwunwnzb9JUfK7SwHglyNgAXjdTwxYvgcOAD4JAQvA635iwIp+5wgAn4GABQAAUBgBCwAAoDACFgAAQGEELAAAgMIIWAAAAIURsAAAAAojYAEAABRGwAIAACiMgAUAAFAYAQsAAKAwAhYAAEBhBCwAAIDCCFgAAACFEbAAAAAKI2ABAAAURsACAAAojIAFAABQGAELAACgMAIWAABAYQQsAACAwghYAAAAhRGwAAAACiNgAQAAFEbAAgAAKIyABQAAUBgBCwAAoDACFgAAQGEELAAAgMIIWAAAAIURsAAAAAojYAEAABRGwAIAACiMgAUAAFAYAQsAAKAwAhYAAEBhBCwAAIDCCFgAAACFEbAAAAAKI2ABAAAURsACAAAojIAFAABQGAELAACgMAIWAABAYQQsAACAwghYAAAAhRGwAAAACiNgAQAAFEbAAgAAKIyABQAAUBgBCwAAoDACFgAAQGEELAAAgMIIWAAAAIURsAAAAAojYAEAABRGwAIAACiMgAUAAFAYAQsAAKAwAhYAAEBhBCwAAIDCCFgAAACFEbAAAAAKI2ABAAAURsACAAAojIAFAABQGAELAACgMAIWAABAYQQsAACAwghYAAAAhRGwAAAACiNgAQAAFEbAAgAAKIyABQAAUBgBCwAAoDACFgAAQGEELAAAgMIIWAAAAIURsAAAAAojYAEAABRGwAIAACiMgAUAAFAYAQsAAKAwAhYAAEBhBCwAAIDCCFgAAACFEbAAAAAKI2ABAAAURsACAAAojIAFAABQGAELAACgMAIWAABAYQQsAACAwghYAAAAhRGwAAAACiNgAQAAFEbAAgAAKIyABQAAUBgBCwAAoDACFgAAQGEELAAAgMIIWAAAAIURsAAAAAojYAEAABRGwAIAACiMgAUAAFAYAQsAAKAwAhYAAEBhBCwAAIDCCFgAAACFEbAAAAAKI2ABAAAURsACAAAojIAFAABQGAELAACgMAIWAABAYQQsAACAwghYAAAAhRGwAAAACvsPkGu6b0kbh7MAAAAASUVORK5CYII=

The government has intensified security for its people and visitors against incidents of kidnapping and that Tanzania
was a safe destination, Minister for Natural Resources and Tourism, Ezekiel Maige said yesterday.

Opening the Natural Resources Sector Review conference attended by development partners to review the sector's development plans, Maige said the security institutions in the country were working closely with the Ministry to keep Tanzania's territorial waters as well as the hinterland secure.

"Tanzania is one of Africa's safest and enjoyable destinations," he assured tourists and other visitors, adding: "Tanzania is a land of peace and is determined to sustain that positive reputation."
"We have intensified security measures to ensure that everybody is safe. We have noted a growing concern about the safety and security of visitors to the East Coast of Africa that are accompanied with several travel warnings pointing at East Africa, including Tanzania," said the Minister.

He said the recent incidents of kidnapping tourists, which happened very far from the territorial borders of Tanzania in the North, should not worry tourists from visiting the country.
"I would like to assure our visitors, both those who are already in the country as well as prospective ones that Tanzania continues to be one of Africa's safest and enjoyable destinations," Maige said.

He said the incidents which happened far from the country's territorial borders should not be cause for panic or cancellation of travel plans to Tanzania.

http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=34141
 
Kazi yenyewe ya nn mbona hujaweka bayana.
 
Home

Nawasiwasi hii mana imeanzishwa na Kiongozi wa Wizara hiyo ili ajipe shavu hapa jamvini. Mbona hayo maneno tushayazoea na huwa hayanaga tija yoyote???kama ndege ya kijeshi imetua katikati ya Tanzania na kubeba wanyamaposi wa kuosha na wala hawakuiona, wataweza kuwadhibiti maharamia katikati ya bahari na mipakani??kwa mikakati gani hasa waliyonayo ktk kudhibiti maharamia????kwa Polisi hawa waliopo kwa ajili ya kudhibiti CDM au kunawengine??huyu bwana asitutie hasira. hii nchi inalindwa kwa kudra za mwenyezi mungu tu.
 
Tatizo lenu wana JF hamufuatilii habari mitandao mingine,na kama munafuatilia habari musenge mbwagia lawama aleta mada.

Hivyo hamujui kua Kenya kulitekwa watalii na kundi la ALsabab la Somalia,watalii walikua lamu Kenya, ndio maana mleta mada akaipongeza wizara Kwa kutoa tamko hilo lililotolewa muda muafaka.,kwakuutumia udhaifu wa kenya na Kujijenga Tanzania.

Au hadi tamko litolewe na Chadema ndio liwe sawa?
 
Sina uhakika sana na uchapaji wa kazi wa waziri wa wiza hii, na especially kwamba anatoka chama kilekile cha mafisadi.
Lakini kwa kutoa tamko hili ameonyesha umakini mkubwa katika kazi yake kwa kulitoa muda muafaka. Mara nyingi tunasemwa kwa kutokuchangamkia fursa kama hizi zinapotokea na kusababisha kupitwa na majirani zetu. Good job waziri , ikiwezekana ipelekeni taarifa hii ikatangazwe kwenye gazeti lao la Daily Nation.

labda atuelezee hivi ilikuwaje Ubalozi wa marekani hapa nchini ulilipuliwa na mabomu? Hivi mabomu ya mbagala, Gongo la Mboto etc na kwingineko mbona wameshindwa kuyazuia na yamekuwa yakijirudia.......................mipakani mbona majambazi hawajathibitiwa?

Mbona nyaraka za serikali hukamatwa kenya na nchi za ughaibuni kama siyo kuzorota kwa ulinzi na usalama..............kudhoofu kwa usalama kenya kutokana na Al-Shabab na huku baadhi ya wanasheria hapa nchini kuhusishwa na mtandao tajwa si dalili nzuri kwetu..................Are we not forewarned?

waswahili hunena ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji..................................hii siyo nafasi ya kutamba kwa sababu eac sasa inatangaza utalii kama single destination kuwakandia Kenya ni ushahidi tosheleza ya kuwa hajui umuhimu wa dhana hii au bado yupo kwenye dimbwi la mwaka 47..............sioni la kusifia hapo zaidi ya kukosa busara na utashi wa kutoa uongozi bora katika karne hii ya 21...........
 
Can anything good come out of this gvt and yet you trust them
Mungu tuu anatuepusha na hayo majanga polisi wako bize na wapinzani na kufulumusha maandamano
Mtajasikia familia nzima ya watalii imetekwa ndo mtajua kama ilo tamko did he really mean it!
 
Tunataka kuona mapato yanayotokana na utalii yanapatikana. Kuimba kwamba Tanzania ina vivutio vingi kuliko nchi nyingine na usalama umeimrishwa hifadhini wakati wenye hoteli kubwa wakichuma fedha kibao ambazo zinalipwa ughaibuni na sisi tukiambulia patupu haitusaidii. Tanzania ianweza kujiendesha kwa utalii tu tukiwa makini.
 
Credit to Maige. He is doing exceptionally well. Wale watu wa umri wake walioteuliwa kuingia serikali wamekuwa ni big let down.
 
Back
Top Bottom