Good Breakfast

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,338
539
Tunashauriwa kuwa breakfast is the most important meal of the day.
Naomba ushauri wa bure
Je ni mlo upi, hapa tanzania, kwa mtu kama mimi kipato cha kwaida, ninaharaka nawahi kazini, au nakunywa chai hoteli asubuhi (Dar) au chakula cha kupack kwenda kulia ofisini.
Please be realistic in answers.
Say budget of btn sh 500-2000/meal.
 

Typical

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
396
211
Kwa hiyo budget
Take 1 chapati,1 cup of juice and a sousage or eggchop
 

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,338
539
Asante typical, how much can a realy healthy breakfast cost? please omit some fatty foods.
 

BeNoir

Member
May 6, 2008
97
3
Haika,
Nafikiri hii yawezekana kupata breakfast health and affordable by picking from each category items you like:
1. tunda lolote moja (chungwa,ndizi) au kipande (nanasi, papai) n.k-kimojawapo;
2. chapati/mkate/andazi/yai (chemsha or kaanga)/magimbi/mihogo/viazi n.k-kimojawapo;
3. chai/kahawa/milo/cocoa/maziwa/mtindi/juice n.k-kimojawapo.
Ninaamini ukipata kutoka kila fungu hapo juu kwa kadri ya uhitaji wako utakuwa ok. Na pia naamini vitu hivyo you can afford kwa budget hiyo ya Tshs.500-2000/
 

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,338
539
My Choice Will Be Magimbi/yai, Ndizi And Chai Rangi. I Hate The Foods Which Are Dropped Into Oil!!!
 

LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,473
187
Naona mmezungumzia content kwenye hili la umuhimu wa breakfast.
Lingine la kufahamu ni hasara za ku-skip breakfast.

Kama sijakosea, chai ya rangi ni bora kuliko kukosa kabisa kifungua kinywa.


.
 

Mr Kiroboto

JF-Expert Member
May 3, 2008
350
87
nyie mnafikiri kifungua kinywa lazima iwe chai,SIO HIVYO.kwa miaka kadha sasa nimekuwa napata glass moja ya maji ya baridi(yasiwe yaliyotoka katika friji)hiki ni kifungua kinywa safi sana pia kinasaidia kuactivate body immunity .
 

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,338
539
water ia always good but nutritionwise water does not feed cells. It helps in cleaning, transportation, disolving and diluting.
 

LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,473
187
nyie mnafikiri kifungua kinywa lazima iwe chai,SIO HIVYO.kwa miaka kadha sasa nimekuwa napata glass moja ya maji ya baridi(yasiwe yaliyotoka katika friji)hiki ni kifungua kinywa safi sana pia kinasaidia kuactivate body immunity .Maji ya moto ni bora zaidi. Also tea, hot/warm water or milk just after lunch instead of cold soda.


.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom