Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,352
Wapendwa Marafiki, Wajukuu na wote wenye mapenzi mema, salaam


Ilikuwa weekend mbaya sana kwa ODM, Baada ya kushtushwa na msiba wa watanzania wenzetu kwenye ajali ya meli haukupita muda nikapigiwa simu.Nikaambiwa Mjukuu wangu mwema wa hapa JF, binti mpole na mcheshi aliyekuwa msikivu na mwelewa, gwiji hapa JF hususani jukwaa pendwa MMU amefariki dunia. Inauma sana! Inauma sana ndugu zangu.....

Imagine siku moja kabla ya kifo chake (jumatano jioni), niliona missed call yake kwenye simu yangu (Nahisi alikuwa ananiaga, labda)..... Baadaye nikampigia hakupokea...... Kesho yake nikampigia simu yake ikawa haipatikani!!!! Kumbe maskini alikuwa ameshatangulia mbele ya haki!!!!

Niliumia sana, nikaingia JF kufuatilia threads na posts zake.........

Hii alibisha hodi......

https://www.jamiiforums.com/utambulisho-member-intro-forum/101596-hodi-jamvini.html?highlight=

Hapa akatutakia weekend njema;

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/121026-weekend-njema-wana-mmu.html?highlight=

Alivyokuwa na upendo, hapa alikuwa anawaomba watu wajitolee damu kuwasaidia wahanga wa mabomu Gongo la Mboto.

https://www.jamiiforums.com/habari-...-mahitaji-ya-damu-kwa-wahanga.html?highlight=

Hapa akawa anatafuta ushauri kwa ajili ya mpendwa

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/122420-msaada-kwa-mkaka.html?highlight=

Yaliyomkera pia aliyasema.....

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/125696-abbreviations.html?highlight=


Ni mengi mno.........kwa manaomkumbuka mtakuwa shahidi yangu, kuwa JF imempoteza mtu muhimu sana. Mipango ya Mungu haina makosa...... Nilitaka kujua sababu ya kifo chake. Mfanyakazi mwenzie wakiwa wanalitumikia shirika la msalaba mwekundu huko Kigoma akaniandikia hivi:
  • She had Pregnancy compllications.....especialy what so called Pregnancy induced Hypretension....which Lead to what so called Eclampsia.....therefore on an attempt to Help her things went Worse...and she called off arround 4:00 Earlier thursday Morning...!!
  • Ndo hivyo mkuu...!!hata cc 2mechanganyikiwa kabisa...!!ni mtumishi mwenzetu...!!especialy me..tulikuwa tukifanya report naye ya kufunga nusu mwaka na 2kapata wote Lunch...just a Day b4 her tragedy....!!hivi naongea jana Wamemsafirisha kwenda Dar kwa parents wake probably wameshaingia leo taratibu zaid bado cjazipata..!!

    Anyway; She was laid to rest Jumamosi, Mbezi Beach.

    Please join me to pray for her soul to rest in peace. Amen


  • JF Senior Expert Member
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png



    Join Date : 10th January 2011
    Location : Paediatrique ward
    Posts : 963

    Rep Power : 22









attachment.php


Kadi kwa hisani ya Afrodenzi..........


Marehemu Ameacha mtoto mmoja wa kiume....Picha kwa hisani ya kiritimba.

attachment.php

Kadi kwa hisani ya Afrodenzi......
 
oops! Kwel maisha ya mwanadamu kama maua, cku moja yachanua, cku moja yanyauka. Mwenyez Mungu ailaze roho yake mahal pema peponi mpaka cku ile ya hukumu itakapowadia.
 
oooh my good lord! namkumbuka na avatar yake ya kimora! eclmpsia is very bad! mwanamke mjamzito ameshikilia ticket ya kifo dunia ya 3! RIP dada. pole sana babu.pengine ukijua taratibu kupitia huyo shosti jf inaweza kuwakilishwa huko?
 
Jamaani!!Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi Amen!1Mungu ametoa mungu ametwaa!
 
Ooh God...another maternal mortality! I always feel pity and less of a doctor everytime a child or a mother died an 'avoidable' death.

RIP Chetuntu...my friend.
 
R.I.P Chetuntu.
Inasikitisha sana. Unaweza kutuweka wazi jina lake Halisi, ikiwezekana na picha yake halisi maana humu JF hatutumiii majina halisi.
 
Mungu wangu mungu wangu

ooh noooooooooooooooooooooooooo.

**Pumzika kwa Amani Chetuntu wote tu safari moja ...tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi ...
Pia Mungu azilaze roho za marehemu wote waliofariki kule Zanzibar pema peponi Ameni
 
Nakumbuka michango yake mingi humu jamvini. Cha ajabu sijawahi kuiona tena kwa kipindi kirefu sana. Kumbe alikuwa na matatizo maskini dada wa watu.
Bwana alitoa, na Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.
RIP Chetuntu!
 
The loss of a love one is so hard to face,
you just want to hide,
go some where and escape!
But death is something,
we all must go through,
I know it's hard,
when it's someone you loved and knew.

Just know now,
she is in a better place,
no more hurt or pain shall she face.
It seems unfair and yes this is true,
but she is in Heaven now
watching over me and you!

God has called her home to rest!!
And she's being well taken care of
Because God knows best

 
Apumzike kwa amani dada yetu. Mungu amuangazie mwanga wa milele.
 
Back
Top Bottom