Gombo la mboto watu wanakufa nyie mnapiga story za mapenzi

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
Gaga Lizzy Bonge repro mshikachuma kisukari tzjamani Nandoa kibhopile Mu-sir herikujua mahanjam Lutala Tausi Mzalendo BABA JUNJO Shishi Kichwa Ngumu HansMaja emmagaja Seto mtemiwao mwanyengo MESTOD tom odera Raia Fulani Ndekapawayowa Mzee wa Usafi Sware likasu MagMat Nkamangi Engager Charles1990 TEGEMEA PGW rogi Boflo nanenane Prisila Mr Chabo next kisu
 
Eh kaazi kweli kweli!Embu toa pendekezo tuwe wapi sasa hivi kwasababu kama ni uchungu tunao na hasira kidogo!Viongozi wa nchi wamelala fofo bora hata sisi tunajiliwaza na story tofauti hapa!
 
jamani mbona sijaelewa kitu?ila nimeelewa hicho kichwa cha habari tu?mbona na wewe umeingia jf?
 
ninawasi wasi atakuwa alikuwa anaandika huku anazimia kisa mshtuko wa mabomu mana anaish gongo la mboto
 
mie naona ametaja raia wa jf wanaokaa gongo la mboto, kuwa ana hofia wanaweza wakaaga dunia tokana na ajali hii ya kamanda kova!
 
mie naona ametaja raia wa jf wanaokaa gongo la mboto, kuwa ana hofia wanaweza wakaaga dunia tokana na ajali hii ya kamanda kova!

Hahahahahaha! Laiti ungejua?????? haya mimi ninavyanzo vya habari vingi sio humu tu, na pia kule kwenye jukwaa la habar mchanganyiko hadi nimecomment kaangalie tuache tupige story bana
 
poleni sana wana gongola mboto,next yatalipuka lugalo na jkt mgulan kaeni chonjooo
:roll:
 
amewataja majina mlioko kwenye isue za mapenzi sema hamna mkato wala nukta
 
Bora tupendane tu huku, manake unaweza ukajikuta unazimia. Kule kwenye habari unatamani utokee kwene screen kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom