Goliath alikuwa jitu kubwa sana

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,887
1 Samweli 17: 4-7 inaelezea wasifu wa Goliath.

Alikuwa na urefu wa mikono 6 na shubiri moja. Mkono mmoja ni sawa na 44.5cm na shubiri moja ni sawa na 22.2cm. Kwa hiyo jumla alikuwa na 289.2cm. Huo ni sawa sawa na 2.9m au futi futi 9 na nchi sita.

Vazi lake la chuma lilikuwa na uzito wa shekeli elfu tano. Shekeli moja ni sawa na gramu 11.4. Hivyo lilikuwa na gramu 57,000 ambazo ni sawa na kilo 57.

Kichwa cha mkuki kilikuwa shekeli 600 sawa na kilo 6.8!

maxresdefault.jpg

the-worlds-tallest-man-sultan-kosen-meets-with-the-shortest-man-ever-picture-id458898780
 
Ukianza kufasiri hivi vitu, utajua kuna mtu alitunga hizi kitu zinaitwa vitabu vitakatifu. Yahitaji wendawazimu kuamini hiyo description! Eti nguo in kilo 57, na mkuki kilo 6.8, jamani huyu mtu alitembeaje?
 
alikuwa ni giant wa futi tisa na hilo vazi kwa lugha nzuri ni armor. angekuwa mtu wa kawaida kungekuwa hakuna haja ya kumuaandika.
 
Back
Top Bottom