Goli la tegete(taifa stars) linatufundisha nini waamuzi wetu tanzania??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Goli la tegete(taifa stars) linatufundisha nini waamuzi wetu tanzania???

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Jun 4, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,065
  Likes Received: 5,553
  Trophy Points: 280
  hongera TAIFA STARS
  hilo ndilo neno nililosema baada ya mechi ya jana na wale wazungu
  lakini bado naendelea kulijadili lile goli la kurudisha la taifa stars
  nahisi waamuzi wetu wanatakiwa kuwa makini na kujua kazi iliyowaleta pale uwanjani....,yule mwamuzi jana alikuwa kwanza hatembeii yeye anapuuliza akiwa mbali na mpira...mistake hiyo ndiyo iliyomponza akaruhusu goli la kurudisha lilofungwa na mchezaji tegete;mungu akiwapa kurudia kuangalia upya mtamwona yule kijana....,alifunga kwa mkono..sasa bado najiuliza inatufundisha nini wamuzi wa bongo..na je mpira wetu utakuwa kwa sytle hii

  la hasha kila la kheri

  TAIFA STARS
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mazee iweke hii ishu kwenye Youtube ili wote tujue tunajadili nini; IF POSSIBLE.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,065
  Likes Received: 5,553
  Trophy Points: 280
  Mazee iweke hii ishu kwenye Youtube ili wote tujue tunajadili nini; IF POSSIBLE.
  __________________
  tukiweka kila kitu kwenye U2B MKUU ...Mhhhh
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,065
  Likes Received: 5,553
  Trophy Points: 280
  Mazee iweke hii ishu kwenye Youtube ili wote tujue tunajadili nini; IF POSSIBLE.
  __________________
  tukiweka kila kitu kwenye u2b mkuu mmmhh!!!haya ngoja niulizie waliorecrd
   
 5. C

  COMIRUBI New Member

  #5
  Jun 5, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kufunga goli kwa mkono ni kitu cha kawaida kwa wachezaji wajanja kama maradona enzi zake wala haikhisiani na kukua kwa kiwango cha mpira.serikali iongeze juhudi za kuleta makocha wa uhakika tz itafika mahali pa kuwa juu kisoka.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,118
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kumbe tumecheat? Doh, mechi niliikosa so sikupata hiyo taarifa.
   
 7. M

  Magehema JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Goli la Tegete ni harakati za TFF kuepusha zomea zomea kwa Maximo na kuipandisha TZ katika FIFA ranks. Nimefurahi sana kuona Rwanda wakicheza qualifying ya WC huku sisi tukihangaika kupanda katika rank za FIFA. Viva Maximo, Viva TZ
   
 8. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kufunga bao kwa mkono na likakubalika ni ujanja katika mchezo wa mpira. Kama unadhani ni rahisi basi hata wao (wazungu) wangefunga hata kwa mikono yote miwili.

  waswahili bwana! tukifungwa taabu, tukifunga taabu, je mnataka nini????????
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Assalamu alaykum.

  i jana tu nimekuwa naiangalia hii mechi kwenye video.
  Hakika wa Tz walicheza vizuri sana. Kuna makosa mengi madogo madogo ya hapa na pale. Lakin refa alijitahidi sana kuwa fair. Hata goli la kusawazisha la Tegete ni miongoni mwa magoli mazuri amabyo yameonyesha wazi kukuwa kwa kandanda la bongo.

  Hakika kocha alijitahidi sana kubadilisha mchezo katika kipindi cha pili.

  KAKIKA TIMU YA TZ IMEIMARIKA SANA. TUNAWAPONGEZA
   
Loading...