Goli la Okwi

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Goli la Emmanuel Anold Okwi linaondoa chunusi, harara, utango tango, linarudisha mke aliyepotea pia linaongeza hamu ya kula hata kama una msongo wa mawazo lkn bila kusahau linaweza kutumika ktk taasisi za fedha kama dhamana na kujipatia mkopo!
 
e0fbd861be0f94a2e9da09faed8ec356.jpg
 
Goli la Emmanuel Anold Okwi linaondoa chunusi, harara, utango tango, linarudisha mke aliyepotea pia linaongeza hamu ya kula hata kama una msongo wa mawazo lkn bila kusahau linaweza kutumika ktk taasisi za fedha kama dhamana na kujipatia mkopo!
We si useme tu kitu kilikuwa kina push....dakika ya 93 mmeshakula kimoja.

lile goli ndio likawarudishia mapigo ya moyo kudadeki...Mtibwa sio wa ki sport sport.
 
Goli la Emmanuel Anold Okwi linaondoa chunusi, harara, utango tango, linarudisha mke aliyepotea pia linaongeza hamu ya kula hata kama una msongo wa mawazo lkn bila kusahau linaweza kutumika ktk taasisi za fedha kama dhamana na kujipatia mkopo!
Ukilitumia kumtongozea Demu hachomoi
 
Back
Top Bottom