Golden Mpoleee toka ndoto ya Ubunge hadi uhalisia wa kua DAKTARI!

I'm not doubting that at all! But there are documents to be submitted before you acquire registration. Unakumbuka kabla hujaanza chemical processing walikuambia ulete birth certificate? Its not like they thought you descended from heaven.. It is procedure baby gal. And it needs to be followed.
niko briliant upstairs. i tek chemical engineerin & am mkaree. ar u sayin even if i start my 1st yr again in doc I cnt do it?
 
I'm not doubting that at all! But there are documents to be submitted before you acquire registration. Unakumbuka kabla hujaanza chemical processing walikuambia ulete birth certificate? Its not like they thought you descended from heaven.. It is procedure baby gal. And it needs to be followed.

no wanda unajua unachoongea. hi family ni wakareee sana. kam nimekosea sehem nisameh.
 
Lol! U don't get to choose family. Haya, mwaliko wa breakfast na auntie AshaDii, manake ntakuchinjia mbuzi ya kukutambika kabisaa

Umejuaje?? I have missed your Breakfast dear... things have been kind of hectic lately.....
 
Hongera Mpolee kwa ndoto yako

Ni ndoto ndefu kidogo kuitekeleza kuwa daktari wa watoto

Kama ndio umemaliza form six, ukisoma kibongo bongo itakuchukua miaka 9 non stop kufikia ndoto yako

yaani, miaka mitano ya udaktari wa kawaida, mwaka mmoja wa intenship, na miaka mitatu ya kusomea shahada ya uzamili katika mambo ya watoto
Nakutakia safari njema ya kutekeleza ndoto yako
 
sante.
 
Back
Top Bottom