Golden Mpoleee toka ndoto ya Ubunge hadi uhalisia wa kua DAKTARI!

pole sana bt dont relie on the position that hold play in ur classes to define ur dreams and ur destiny, tatizo la ndoto yako ya kuja kuwa mwakilishi wa jimbo flani sikumoja ulikua umetawaliwa na imani kua ukitaka kuingia mjengoni lazima ujuane na akina flani kwanza dats y ur dream has gone dead easily, kiongoz mzuri ni yule anaye fatwa na watu akaombwa ili awaongoze then ndio utaanzakujiuza kisera sehem zile ambako hujulikani na ukishafikia hapo hao akina naniiiiii watakujua tu kwa kukusikia from various source jinsi unavyotisha na kukubalika then watakuja tu wenyewe kujenga network na wewe and then unaweza ukashinda and achieve ur dreams but also kuwa na network sio kwamba inamaanisha kuwa utashinda bcoz utatakiwa kushindana na watu flani ili uchukue jimbo so this means it will greatly depend who you ar competing with, and how critical and influencial he/she is so dont also let network :A S 465:describe or derive ur dreams and future jst be self determined.
 
Ok, usijali hilo litakuwa mojawapo ya agenda kwenye kikao kijacho,
Yes babu anaumwa sana tena ku mkichwa hapako shwari,
Maka hata kumbukumbu ya ratiba ya kukagua wajukuu imeanza kumpotea,
Jitahidi kusoma fasta uje kumtibia babu!

mwambie bab atapona akmfanyia shere GM.
 
pole sana bt dont relie on the position that hold play in ur classes to define ur dreams and ur destiny, tatizo la ndoto yako ya kuja kuwa mwakilishi wa jimbo flani sikumoja ulikua umetawaliwa na imani kua ukitaka kuingia mjengoni lazima ujuane na akina flani kwanza dats y ur dream has gone dead easily, kiongoz mzuri ni yule anaye fatwa na watu akaombwa ili awaongoze then ndio utaanzakujiuza kisera sehem zile ambako hujulikani na ukishafikia hapo hao akina naniiiiii watakujua tu kwa kukusikia from various source jinsi unavyotisha na kukubalika then watakuja tu wenyewe kujenga network na wewe and then unaweza ukashinda and achieve ur dreams but also kuwa na network sio kwamba inamaanisha kuwa utashinda bcoz utatakiwa kushindana na watu flani ili uchukue jimbo so this means it will greatly depend who you ar competing with, and how critical and influencial he/she is so dont also let network :A S 465:describe or derive ur dreams and future jst be self determined.

hizi ni porojo tu hata mm nilikua naamini hivo.
 
Kama angekuwa form 1 ingekuwa rahisi zaidi kuipata ndoto ya udaktari. Ila kuwap kutoka engineering kwenda kwenye udaktari unadhani ni sawa na kutoka engineering kwenda uhasibu? Doesn't work that way darling!
Hawezi kuua wanenu, hata kama yuko form 1 ana haki ya kuwa na ndoto, vidato visikuzingue.
 
umefanya maamuzi mazuri,
watu gani wa ku la la nao,
zaidi ya nusu wanaonekana kama wana marazi,
songa mbele na kitabu binti.
 
Kama angekuwa form 1 ingekuwa rahisi zaidi kuipata ndoto ya udaktari. Ila kuwap kutoka engineering kwenda kwenye udaktari unadhani ni sawa na kutoka engineering kwenda uhasibu? Doesn't work that way darling!

niko briliant upstairs. i tek chemical engineerin & am mkaree. ar u sayin even if i start my 1st yr again in doc I cnt do it?
 
Wakati ndoto yangu ya kuwa daktari bingwa wa wanawake, ndoto yangu ilizimika pale alipokuja mjamzito mwenye uchungu wa kujifungua. Vipimo vilionyesha anatarajia kujifungua mapacha. Wakati tunaweka mazingira kwa ajili ya kumsaidia, hamadi tukapigwa na bumbuwazi kumbe binti alikuwa bikira!! Mpaka leo najiuliza ile mimba ilipenyea wapi? Au kuna sehemu nyingine za kupenyeza ujauzito? Ili kukwepa mkosi nikaingia mitini....

Ndo maana nimejibakia zangu huku martenity Ward, nawagawia kinamama Aspirin nitulize maumivu yao ya uchungu wa kujifungua.
 
HATARI SANA KM DIS IS UR STANDING, BAS km ni hivyo hata ukiwa doctor kunamambo ya promotion huko na some opportunities km zile za seminers so angalia unaweza ukawa hujakimbia tatizo coz kotekote huyo tabia yupo
 
Utaratibu wa kusoma udaktari unahusisha qualifications. Jaribu kuangalia vyuo mbalimbali vinavyotoa hii fani na uone kama unaweza kufit in. Hongera kwa kutokuwa mjinga.
mm ni mpole sio mjinga. nasoma masomo ya science toka stnd 5. nipo camp nachukua chemical engineerin ni rahis kua swap.
 
Golden Mpoleee babu anataka uwe Doctor wake.... sasa itakuaje na wewe utana aim kua wa watoto?
 
Utaratibu wa kusoma udaktari unahusisha qualifications. Jaribu kuangalia vyuo mbalimbali vinavyotoa hii fani na uone kama unaweza kufit in. Hongera kwa kutokuwa mjinga.

Wifi King' mimi mzima wa afya.... I have news I don't know kama itakua bad or good kwako but GM ni new edition in the family...lol
 
Wakati ndoto yangu ya kuwa daktari bingwa wa wanawake, ndoto yangu ilizimika pale alipokuja mjamzito mwenye uchungu wa kujifungua. Vipimo vilionyesha anatarajia kujifungua mapacha. Wakati tunaweka mazingira kwa ajili ya kumsaidia, hamadi tukapigwa na bumbuwazi kumbe binti alikuwa bikira!! Mpaka leo najiuliza ile mimba ilipenyea wapi? Au kuna sehemu nyingine za kupenyeza ujauzito? Ili kukwepa mkosi nikaingia mitini....

Ndo maana nimejibakia zangu huku martenity Ward, nawagawia kinamama Aspirin nitulize maumivu yao ya uchungu wa kujifungua.

bab wapi panauma? njoo nikutibu.
 
HATARI SANA KM DIS IS UR STANDING, BAS km ni hivyo hata ukiwa doctor kunamambo ya promotion huko na some opportunities km zile za seminers so angalia unaweza ukawa hujakimbia tatizo coz kotekote huyo tabia yupo

Udaktar hakuna promotion bila bongo yako kuchemka.
 
Back
Top Bottom