Golden Mpoleee toka ndoto ya Ubunge hadi uhalisia wa kua DAKTARI!

Habari zimeshafika kwa baadhi ya wanandugu utawaona wakija kukupongeza,
Ila nashauri course zingine ufanye na option zinazohusu magonjwa ya kichwa kwa wababu,
Maana ali ya babu imeanza kuchange hasa ku mkichwa,
Ukiwa km dakta wa familia waweza tusaidia kumtibu Babu ODM.



mbon mliniahid shereh ya kunkaribsh lakin kimya? bab anaumwa?
 
Golden Mpoleee alikua na nia ya kuwasimamia wananchi waweze kupata haki zao ili walau maisha bora yawe kwa kila mtanzania. ubunge mgumu ndg zang. siasa wametawala wanaume tu huko juu na wanawake waliop wachache wana sauti, si nikapata appointmnt ya kuongea na mkubwa mmoja jins ya mm kuweza anza jiandaa kupata ubunge. lah haula wa la kwata! eti mpaka niwe mbunge itatakiwa nilale na kila mkubwa ninae kua nae na appointment la sivo niwe mvumiliv nisubiri ni mama mtu mzima kama zakia ndio nipate kwa utashu wang. nikase No way! Golden mpolee is golden. hawez uza utu wake kijinga hivi. Kwa majonzi makubwa natangaza rasmi. nimeamua kua daktari sbb nina akili sana na hua nashika top 3 katika wanafnzi 207. bora nieleme huko na ole wao hao wakubwa waje waombe niwatibu!


Golden Mpoleee. Docta mtarajiwa. mzuri na mpole.

utakufa Maskini ...
 
mbon mliniahid shereh ya kunkaribsh lakin kimya? bab anaumwa?
Ok, usijali hilo litakuwa mojawapo ya agenda kwenye kikao kijacho,
Yes babu anaumwa sana tena ku mkichwa hapako shwari,
Maka hata kumbukumbu ya ratiba ya kukagua wajukuu imeanza kumpotea,
Jitahidi kusoma fasta uje kumtibia babu!
 
Back
Top Bottom