GOLDEN DIAMITE... (Yeyote anayeifahamu hiyo kampuni....) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GOLDEN DIAMITE... (Yeyote anayeifahamu hiyo kampuni....)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by md4doctor2000, Oct 8, 2012.

 1. md4doctor2000

  md4doctor2000 JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 740
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Wana JM...

  Kuna yeyote ambaye amepata SMS ifuatayo....?

  "Habari.....Ofisi ya GOLDEN DIAMITE imekufahamu kupitia rafiki yako wa karibu anayefanya kazi na Kampuni muda wa ziada, hivyo akapendekeza tukukaribishe Ubungo Plaza kesho saa 8:00 mchana tukushirikishe fursa itakayokuwezeshe fursa itakayokuwezesha kufanya kazi na sisi. Kwa mawasiliano zaidi piga 0715384055 na 0753200005."

  TATIZO:

  1. Ukiwauliza rafiki aliyewapa namba wanakataa kusema!
  2. Ni fursa gani hizo, hawasemi, zaidi ya kusisitiza ufike Ubungo!
  3. Je kuna compensation yoyote ya muda utakaotumia kuhudhuria hapo pia hawasemi!

  Nawakilisha....
   
Loading...