Godwin Kunambi aondolewa Ukurugenzi Dodoma, Joseph Mafuru ateuliwa

Alikuwa anamalizia baadhi ya majukumu muhimu pale Stendi ya kimataifa na soko la Ndugai!
Ya kugawana vizimba vitano vitano ili wapangishe na wao? Kama hiyo kisha maliza tena Kwa vitisho kwamba hakuna wa kum babaisha na kweli hababaishwa
 
Anaweza Kushinda kwa haki tuu. Huyu ni mtanzania ambae anatoka wilaya za pembezoni tena za ndani sana. Anatoka familia maarufu sana na umaarufu unazidi kwa kuwa huko vijini ndio familia iliyo fungua macho mapema sana miaka ya 1920's

Babu yake Ndio kati ya Machifu waliofahamika sana kwa mikoa ya Eastern Province. Chief Kunambi ndio Watanganyika wachache waliopata elimu ya vyuo vikuu miaka ya 1940's. Na alishika madaraka na kama sikosei alikuwa Naibu Waziri. Na alishikilia nyadhifa mbalili tangu wakati wa Mkoloni na wa Nyerere.

Mama Yake Benadeta Kunambi ni Kiongozi wa muda mrefu tangu wakati wa Nyerere, kama Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, na waziri Naibu Waziri na familia ina uimara wa kiuchumi na inaheshimika sana Mlimba, pamoja na yote hayo kijana hana malezi na tabia za ajabu ajabu ni vijana wa pigiwa mfano.

Kwa hiyo sioni taabu yeyote hapo.

The Kunambi guy is very humble , mchapakazi na ni mwenye nidhamu kubwa sana namuona akifika mbali kisiasa
 
Back
Top Bottom