KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 864
Haya ndo majibu ya Mwanashaeria wa TANESCO aliyefukuzwa suala la Escrow
Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu
Habarini za mchana! Kwa kawaida na silka yangu, mimi sio mtu ninaependa ugomvi hasa ule usio wa lazima. Lakini, pia, sipendi kuonewa; na katika suala ambalo ni la wazi, nitasimama katika kanuni kupigania iliyo haki yangu.
Si nia yangu kutoa utetezi wangu hapa, au kujibizana na mtu mjinga, pumbavu na mufilisi, lakini nadhani ni vema niseme tu kifuatacho:
Sospita Muhongo ni muongo, mjinga, mtu mwenye dharau na asiyestahili kurudishiwa heshima hata kidogo. Mambo aliyoyasema dhidi yangu Bungeni leo ni ya uongo, yenye hila na ya kutunga. Na kwavile najua kuwa amefanya hivi makusudi, na kwa nia ovu, nimeamua kumchukulia hatua za kisheria rasmi. Na sitorudi nyuma.
Mungu ata deal nae!!! Lakini na mimi pia, sheria si zipo; he is just one ordinary person, appointed by one person, not even elected by ten people; anajidai ku appeal to the populace!!! Nimekosea nini kutoa maoni yangu, tena kikazi!!! Kama ana ugomvi na waheshimiwa wabunge wenzake, awajibu!!! Kama hakuyapenda mawazo yangu ya kitaaluma na kikazi, si basi atetee tu uamuzi wake??!!! He thinks he is operating under a world of perfect knowledge!! Bullies are cowards!!!
Leo mtu mjinga, irresponsible kwa akili na ulimi wake, anajidhalilisha kwa maneno ya uongo, na il-hali akijua hivyo!!! Eti, nimwache tu!!! This naughty profesa wa miamba, anaejifanya anajua kila kitu!!!