Godwin Gondwe amesababisha mauaji kwa kutoa amri ya kuwaondoa wananchi mgodini?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Huyu ni mkuu wa wilaya huko Tanga

Amefanya mauaji ya watoto wadogo wakati wa operations ya kuwaondoa wananchi mgodini na kwa kuweka wawekezaji...

Familia zinasema kuna ndugu zao hasa watoto wamechomwa wakiwa ndani ya Nyumba hizo.

Amri ya mkuu wa wilaya ndio ilitumiwa na police

Nina uhakika kuna watu wamekufa hata kama mtu atahitaji ushahidi wanitafute lengo langu ni kutaka Rais amfukuze na ampeleke mahakamani kwa mauaji..

Na apelekwe mahakamani kwa mauaji ya watu wasio na hatia..

Watu wamekufa kweli kwa mjibu wa BBC
 
Huyu jamaa hafai kabisa,possibly amepatiwa mlungula / aharakishe uhamishwaji / kwa kusababisha mauaji this is the worsest ever...
HV Huyo jamaa cheyo ni ndg na yule mwanasiasa?
•uharakishwaji huu una dalili za rushwa...
 
Huyu ni mkuu wa wilaya huko Tanga

Amefanya mauaji ya watoto wadogo wakati wa operations ya kuwaondoa wananchi mgodini na kwa kuweka wawekezaji...

Familia zinasema kuna ndugu zao hasa watoto wamechomwa wakiwa ndani ya Nyumba hizo.

Amri ya mkuu wa wilaya ndiye alitoa amri hiyo hiyo kwa police...

Nina uhakika kuna watu wamekufa hata kama mtu atahitaji ushahidi wanitafute lengo langu ni kutaka Rais amfukuze na ampeleke mahakamani kwa mauaji..

Na apelekwe mahakamani kwa mauaji ya watu wasio na hatua..

Watu wamekufa kweli kwa mjibu wa BBC
Jekamauko sahihi ukotayari kutoa ushilikiano ktk vyombo vinavyohusika nimeshindwa kuelewa ni we we au BBC tuwaulize
 
Ni Double G ndio kafanya mauaji au Polisi?
Yeye huyo double G kawaamuru polisi wafanye waliyofanya! Ni huyu huyu double G aliwaamuru polisi wawakamate waandishi wa habari waliokuwa wanafuatilia jambo hili, wanaodai huenda kuna mlungula umetembea wanaweza kuwa na hoja!
 
Mkuu ilikuwa lini, Tanga wilaya ipi, Mtaa upi?
Ni watu wangapi jumla waliua?,
Kiongozi wa Polisi alieongoza ni nani mkuu?
Familia za wahanga Mkuu tuwapate wathibishe au unaonaje mkuu,?
Kisha tutawakilishe kwa Magazeti zaanze kuchapisha hii habari.
Lakini itabidi kwanza tuwe na uhakika,
Kisha kesi ifunguliwe
 
***
ILANI HAISEMI HIVYO...
Sio kweli! As a prudent person mh. Alitakiwa kuweka mechanism ambayo ingewapa kipaumbele waliokuwepo hapo awali na sio kuwaondoa kwa nguvu! Ndio hawajafuata utaratibu kuwa hapo lakini kwa kuwa wamekuwepo hapo kwanza wanastahiki kupata chochote! I hope mkuu mhusika ataliangalia hili!
 
Hiyo ndo CCM. kuishi kama Roboti klna Kugeuza malaika kuwa mashetani. Nilidhani Mashetani ndo wangebadilishwa wawe malaika
 
Back
Top Bottom