Godlisten Malisa: Namuunga mkono Rais Magufuli kufungua vyuo vya elimu

Huu ujinga wa kupenda kumsifia na kumtukuza Rais kwa kila jambo ndiyo unao sababisha mgawanyiko usio na tija ndani ya nchi yetu. Kila jambo, mtalitafutia kila aina ya sababu ili tu mligeuze na kuwa la kisiasa.
Acha ujinga

Yaani kumsifia Rais kulete mgawanyiko kwenye taifa . Howcome
 
Uamuzi wa kuvifungua vyuo anastahili kongole zake, lakini uharaka wa kutaka kuvifungua hapo hapajatulia kabisa. Mimi ningeshauri angevuta tu subira mpaka tarehe 1 Julai, ili aweze kuupima upepo na kuusoma vizuri mchezo, ili apate nafasi nzuri ya kuangalia nini hasa ambacho kinafaa kufanyika hasa kupitia kujifunza kwa mataifa mengine. Tukikosea tu "timing" Watanzania tutageuka kuwa "laughing stock" mbele ya mataifa mengine ulimwenguni hasa jirani zetu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom