Godfrey Zambi katika sura mbili: Ya bungeni na ya jimboni!

G. Zambi anatokea Tarafa ya Igamba na ndo kwa wazazi wake, ukitaka kujuwa hakushinda panda gari kutokea Mlowo kama unaelekea Ziwa Rukwa kamsamba ni karibu tu ukaulize majirani kama anakubalika au la. Nijuavyo mimi kama mzaliwa wa Isansa tarafa ya Igamba ni kwamba , Zambi akienda Mbozi huwa anategemea zaidi ulinzi maana hata mkutano wa hadhara hawezi kuitisha tena tokea 2010. Wanyiha ni noumaaa! wakikugeuzia shingo ndo basi tena. Zambi ni mbunge wa Ndisana(Mahenge) na wenzake ndo maana hata jamaa yake huyo Ndisana alitaka kuweka Bar kwenye geti la Shule ya msingi Haloli na watu walipopiga kelele akaibadili kuwa nyumba ya kuishi.
 
G. Zambi anatokea Tarafa ya Igamba na ndo kwa wazazi wake, ukitaka kujuwa hakushinda panda gari kutokea Mlowo kama unaelekea Ziwa Rukwa kamsamba ni karibu tu ukaulize majirani kama anakubalika au la. Nijuavyo mimi kama mzaliwa wa Isansa tarafa ya Igamba ni kwamba , Zambi akienda Mbozi huwa anategemea zaidi ulinzi maana hata mkutano wa hadhara hawezi kuitisha tena tokea 2010. Wanyiha ni noumaaa!akikugeuzia shingo ndo basi tena. Zambi ni mbunge wa Ndisana(Mahenge) na wenzake ndo maana hata jamaa yake huyo Ndisana alitaka kuweka Bar kwenye geti la Shule ya msingi Haloli na watu walipopiga kelele akaibadili kuwa nyumba ya kuishi.

Pamoja sana Mkuu Chihaya, ninavyojua mimi Zmbi ni mbunge wa kijiji kimoja tu Mbozi, yaani kijiji cha Ichesa tu kwa rafiki yake na aliyekuwa kampeni maneja wake. Na kama nilivyoeleza mapema, Mbozi Zambi anasafria gali za bwana Ugali au Fuata upotee! Kiujumla akiwa Mbozi Zambi ni mtu wa mawengemawenge kwa sababu akina Tumgoje Atumanyile bado wanamtafuta, labda afute kesi aliyowashitaki kwa kumvunjia nyumba yake. Kwani wanasema yeye ndiye mchokozi kwa kujitangaza mshindi.
 
Baada ya kuona jina la Zambi katika list ya majina yanayopigiwa chapuo juu ya uwaziri, ilinibidi nifanye ufuatiliaji kidogo kwa wenyeji wa hapa Mbozi kwa kuwa nipo huku. Na majibu niliyopata ni kama haya:

Godfrey Zambi hatakiwi Mbozi kwa taarifa yako. Huyu jamaa ni corrupt sana
tofauti na anavyojitambulisha bungeni. Zambi hupata ubunge kwa rushwa ya kusaidiwa na wafanyabiashara Wakinga wa Vwawa na Mloo. Wafanyabiashara hao humsaidia kwa imani kuwa atalinda interest za wakaazi wa Mbozi ambao si Wanyiha.

Na politics zinekuwa hivyo tangu wakati wa mbunge Halinga, ambaye hapo nyuma alionekana kuwanyanyasa wakaazi wa Mbozi ambao si Wanyiha. Zambi ndiye amekuwa kimbilio la hawa wakaazi kwa matumaini ya ulinzi.

Nakuhakikishia akipewa uwaziri yataanza kuibuka madudu ya rushwa yakitokea Mbozi mashariki. We subiri tu. Sana sana tukio hilo litamuongezea kijana Mwampamba wa chadema nguvu zaidi ya kushinda 2015. Nipo hapa.

My take: Sehemu kubwa ya wabunge wa CCM wanaojifanya kupiga kelele bungeni ni wanafiki. Kama Zambi anashinda kwa rushwa anawezaje kusimama kuipinga rushwa kwa dhati? Huyu akipewa kitu kidogo si anafunga mdomo au hata kugeuza mwelekeo kabisa? Na akipewa uwaziri je, anawezaje kujitenga na wizi na dhuluma ilhali na yeye ni uzao wa dhuluma?

wivu wa kike
 
Kiukweli Zambi hakuchaguliwa kihalali na ndiyo maana hata mwenzake aliyeshindwa na Silinde Dr. Siame akawa analalamika ndani ya CCM kwamba kama waliweza kuchakakchua kwa Zambi akashinda kwanini kwake ilioshindikana?
Kwa upande mwingine kama Zambi kuwa Waziri ni haki yake kwani huko CCM nani anaweza kunitajia watu 10 wasafi?
 
Back
Top Bottom