Godbless Lema: UZALENDO ni kumuonea huruma Mzee wa Kizungu juu ya deni lake analodai

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,447
16,304
Kupitia ukurasa wake wa twitter, mbunge wa Arusha mjini ameandika haya kuhusiana na sakata la kushikiliwa kwa ndege ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL):

"Kuna namna neno UZALENDO linapewa tafsiri potofu siku hizi,UZALENDO sio kuiba/kuharibu jambo la mtu/Nchi nyingine kwa manufaa ya Nchi yako,UZALENDO ni kusaidia haki kuthaminiwa na jamii zote Duniani bila kuzingatia mipaka ya Nchi."

"Kwa hili la Ndege yetu kukamatwa Nchini Afrika Kusini,UZALENDO sio kulaumu mawakili Watz waliopewa kazi,UZALENDO ni kumuonea huruma Mzee wa Kizungu juu ya deni lake analodai,njia sahihi ya kuthibitisha UZALENDO ni kuwa na Upendo na watu wote hata kama sio wa damu yako."

Screenshot_20190827-074358.jpeg
 
kwahiyo tushangilie ndege kukamatwa ili mzungu apate haki yake? Hivi Lema amesoma vizuri chumbuko la huu mgogoro?

Kupitia gazeti la citizen leo, inasemekana team ya wataalamu kutoka serikali ya Tanzania walitadhmini "compensation" kwahiyo mzunguu baada ya serikali ku nationlise mali zake na mashamba ilikua ni TZS44 Milion lakini yeye alitaka 373Milion.

Mwenye akili hapa anaweza kuona tatizo liko wapi.
 
Na mahakama ikaamuru alipwe ngapi baada ya huo mvutano?
 
Wanaanza kujitokeza, Wachina wana msemo ,, if you sit long enough by the river, you will start seeing the bodies of your enemies” sasa tunaanza kuona miili ya maadui zetu waliohusika na kukamatwa kwa mali zetu, pole pole mtamsikia Dada wa Taifa, Kaka wa Taifa na Mchumi pia wakiongea!
 
Yaan ww unadaiwa kweli lakini kisa una gubu na jirani bas kila jirani akiongea unasema yy amesababisha sofa lako la mbao libwebwe😂😂 Lipa deni baba
 
Pole baba magufuli,mashetani ni mengi mno kila uchao wao ni maombi ya ushindwe tu...!
*eruptive case,shauri lililoamshwa ghafla.
*je palikuwepo na undergoing cases,maana huwa ni lazima pawepo na waraka wa ukumbusho wa madai,ikizingatiwa serekali yetu ni serekali inayobadilika kila miaka 10, MAHAKAMA HIYO NI LAZIMA IIACHIE NDEGE HIYO MAPEMA SANA HUKU KESI YA MSINGI IKIENDELEA.
*
*
 
Ongeza uelewa wa sheria
Pole baba magufuli,mashetani ni mengi mno kila uchao wao ni maombi ya ushindwe tu...!
*eruptive case,shauri lililoamshwa ghafla.
*je palikuwepo na undergoing cases,maana huwa ni lazima pawepo na waraka wa ukumbusho wa madai,ikizingatiwa serekali yetu ni serekali inayobadilika kila miaka 10, MAHAKAMA HIYO NI LAZIMA IIACHIE NDEGE HIYO MAPEMA SANA HUKU KESI YA MSINGI IKIENDELEA.
*
*
 
kwahiyo tushangilie ndege kukamatwa ili mzungu apate haki yake? Hivi Lema amesoma vizuri chumbuko la huu mgogoro?

Kupitia gazeti la citizen leo, inasemekana team ya wataalamu kutoka serikali ya Tanzania walitadhmini "compensation" kwahiyo mzunguu baada ya serikali ku nationlise mali zake na mashamba ilikua ni TZS44 Milion lakini yeye alitaka 373Milion.

Mwenye akili hapa anaweza kuona tatizo liko wapi.
Kwahiyo unaona ni haki wanaopora mali yako ndiyo wakadirie thamani yake au kukulipa fidia? Siku zote sirikali ni MWAMBANGOZI!
Bora tuendelee na ufugaji wa rasta kichwani.
 
Pole baba magufuli,mashetani ni mengi mno kila uchao wao ni maombi ya ushindwe tu...!
*eruptive case,shauri lililoamshwa ghafla.
*je palikuwepo na undergoing cases,maana huwa ni lazima pawepo na waraka wa ukumbusho wa madai,ikizingatiwa serekali yetu ni serekali inayobadilika kila miaka 10, MAHAKAMA HIYO NI LAZIMA IIACHIE NDEGE HIYO MAPEMA SANA HUKU KESI YA MSINGI IKIENDELEA.
*
*
Mh! Wewe ni janga la taifa
 
Back
Top Bottom