Godbless Lema: Tuko kwenye hali mbaya kidemokrasia/utawala wa sheria kuliko Uganda, Rwanda na Burundi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Ameandika hivi kupitia twitter:

Tuko kwenye hali mbaya kidemokrasia /utawala wa sheria kuliko Uganda,Rwanda na Burundi.Tuko kwenye butwaa kubwa,hatujui kwa kina kinacho endelea,hali siyo kawaida tena.Tutakuja kushituka hali ikiwa ni mbaya sana.Tunapaswa kuamua sasa tunataka nini kabla giza halijatanda zaidi.
 
Naona Kigogo 2014 kamuibua Lema!

Hakika Kigogo ataisaidia Chadema kuyafikia mabadiliko ya kweli ya kidemokrasia.
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Tuko kwenye hali mbaya kidemokrasia /utawala wa sheria kuliko Uganda,Rwanda na Burundi.Tuko kwenye butwaa kubwa,hatujui kwa kina kinacho endelea,hali siyo kawaida tena.Tutakuja kushituka hali ikiwa ni mbaya sana.Tunapaswa kuamua sasa tunataka nini kabla giza halijatanda zaidi.
Ni kweli Chadema hatuna demokrasia, mwenyekiti amekuwa wa kudumu sasa.
 
Kamanda hodari wa Jeshini hutambuliwa Vitani sio wakati wa Gwaride

Wakati wa Jk walikuwa wameruhusiwa kufanya Siasa watakavyo wakajipa majina ya ujasiri Mara Kamanda wa Anga Mara Sijui Field mashal n.k

Wakati huu ndio ulikuwa wakati muafaka kuthibitisha uhalali wa yale majina ya Kikamanda waliokuwa wakijipa wakati wa Gwaride (2005-2015)

Sasa hivi tofauti ya Kamanda wa Anga na wasio makamanda haipo
 
Hivi huwa hamuoni aibu kudai democrasia wakati kwenye chama chenu haipo?

Mwenyekiti amekaa miaka mingapi katika wadhifa huo?
Wangapi waliyojaribu kutaka Mwenyekiti wenu aachie ngazi lakini wakaishia kubaya?mfano zito kabwe,

Mnakumbuka mlichokifanya 2015 kumnyanganya Dr slaa tiketi ya kugombea urais mkamkabidhi mliyemwita fisadi??je hiyo ndiyo ilikuwa democrasia kweli?
Onyesheni mfano wa democrasia ndani ya chama chenu ndipo muone boriti ndani ya vyama vingine!!mbali na hapo hayo ni makelele
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Tuko kwenye hali mbaya kidemokrasia /utawala wa sheria kuliko Uganda,Rwanda na Burundi.Tuko kwenye butwaa kubwa,hatujui kwa kina kinacho endelea,hali siyo kawaida tena.Tutakuja kushituka hali ikiwa ni mbaya sana.Tunapaswa kuamua sasa tunataka nini kabla giza halijatanda zaidi.
Lema, huna credibility ya ku analyze mambo kama haya ....usivimbe kichwa! Mnahitaji kujipanga na kuwa timu ili mtegemeane kama zamani.

Ila kwavile hamuwezi kumuwajibisha Mbowe subirini muwe na chama kama NCCR ya sasa. Ubishi wa NCCR umewafikisha hapa na nyie mnafanya makosa yale yale na sadly hamsikii la mtu wala kujifunza historia.
 
Hivi watu wengine mnafikiri kwa kutumia kiungo gani cha mwili wenu jamani??!! Kukosekana kwa demokrasia katika taasisi ndogo kama chama kunahalalisha kukosekana demokrasia katika nchi nzima kweli!!??? Insane type of thinking.......
Hivi huwa hamuoni aibu kudai democrasia wakati kwenye chama chenu haipo?

Mwenyekiti amekaa miaka mingapi katika wadhifa huo?
Wangapi waliyojaribu kutaka Mwenyekiti wenu aachie ngazi lakini wakaishia kubaya?mfano zito kabwe,

Mnakumbuka mlichokifanya 2015 kumnyanganya Dr slaa tiketi ya kugombea urais mkamkabidhi mliyemwita fisadi??je hiyo ndiyo ilikuwa democrasia kweli?
Onyesheni mfano wa democrasia ndani ya chama chenu ndipo muone boriti ndani ya vyama vingine!!mbali na hapo hayo ni makelele
 
Kamanda hodari wa Jeshini hutambuliwa Vitani sio wakati wa Gwaride

Wakati wa Jk walikuwa wameruhusiwa kufanya Siasa watakavyo wakajipa majina ya ujasiri Mara Kamanda wa Anga Mara Sijui Field mashal n.k

Wakati huu ndio ulikuwa wakati muafaka kuthibitisha uhalali wa yale majina ya Kikamanda waliokuwa wakijipa wakati wa Gwaride (2005-2015)

Sasa hivi tofauti ya Kamanda wa Anga na wasio makamanda haipo
Hahahah, ila we jamaaa bana,
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Tuko kwenye hali mbaya kidemokrasia /utawala wa sheria kuliko Uganda,Rwanda na Burundi.Tuko kwenye butwaa kubwa,hatujui kwa kina kinacho endelea,hali siyo kawaida tena.Tutakuja kushituka hali ikiwa ni mbaya sana.Tunapaswa kuamua sasa tunataka nini kabla giza halijatanda zaidi.
Wakatiule mnakula njama ya kumfukuza ZZK mlikuwa hamjaona hilo?
 
Back
Top Bottom