Ameporwa Mong'o wa watu,ndiyo maana serikali ikahamia huko haraka haraka.Pia suala LA kutangazwa kuwa hayo ni mafanikio ya awamu ya tano si sahihi.Amesotea hayo nawe kwa muda Mrefu na kwa gharama zake binafsi,kwa nini kujisifu kumpitia hiyo mvuja jasho?
Wakiwemo Gavana wa BoT,Waziri wa Madini,Mzee Baba mwenyewe,Mbunge nk.ni kati ya wanamganda na wanampango/wameshamaliza kumpora kama alivyobainisha Mh.Lema.Mhusika hajalalamika ila yasiyowahusu wanavyomganda sasa
Serikali imeanza lini kununua Tanzanite?Madini gani mengine wamenunua tangia waingie madarakani?Faida kiasi gani Tanzania imepata hadi sasa?Biashara ni makubaliano, BOT/Serikali wamewekeza mtaji wao lazima faida itapatikana ili hii nchi ifaidike kuendelea kuleta maendeleo yenye tija kwa Watanzania.
BTW Lema amekuwa mtaalam wa madini, mbona hakusema bei yake basi tufahamu na kutueleza hiyo bei ni pungufu kwa kiasi gani? Ndio majungu yenyewe na Propaganda hizo.
Kwanza nilikuwa siamini kuhusu hii habari ila sasa naanza kuamini.
Hahaaaaa.umenichekeshaKabla ya kuuzia Serikali alikuwa ametahifadhi wapi????
Ukweli lazima usemweMhusika hajalalamika ila yasiyowahusu wanavyomganda sasa
Usiwe unanukuu watu kama unaandika utopolo.Wakiwemo Gavana wa BoT,Waziri wa Madini,Mzee Baba mwenyewe,Mbunge nk.ni kati ya wanamganda na wanampango/wameshamaliza kumpora kama alivyobainisha Mh.Lema.
Inamaanisha?
Kabisa Laizer ameuza madini yake kwa bei ya mbuzi.
Ni udaku.Ukweli lazima usemwe
Dhuluma kubwa sana hii.Tayari! Wameshadandia hoja!
Mwambieni Lema aweke kwenye ilani ya chadema ili waende nayo kwenye kampeni kwamba selikali imemzulumu mchimbaji mdogo
Fikiria wanapinga hadi mtu binafsi kuuza bidhaa yake,!Pinga pinga
Kwa vipi ni dhuruma?Dhuluma kubwa sana hii.
Chadema lazima wapinge. Lemma nae akachimbe auze Mara kumi ya hiyo Bei.Mhusika hajalalamika ila yasiyowahusu wanavyomganda sasa
Kwako wewe ni udaku kwa wenye akili timamu ni ukweliNi udaku.