Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
CDM mbona wanalalamika?Utawala huu unaanzaje kulalamika?

Sis wote hayatuhusi, ila kuelimishana ni muhimu. Tatizo wengi huwa mnachangia kwa mihemko ya siasa bila ya kujua uhalisia wa jambo husika.Hapo sasa umejibu lipi kati ya niliyouliza?Wewe ni mhusika/mlengwa wa mambo niliyotaka kueleweshwa.Hoja ijibiwe kwa hoja na kama huna la kuelezea acha kudandia yasiyokuhusu.
Take Care.
Mimi sioni tatizo kuuzia serikali, pili naamini huyo Laizer ameridhia, hizi kelele hazisaidii kitu
Serikali inafanya biashara ya madini toka kitambo, nna ndio maana ina kampuni au taasisi yake ya kuchimba madini inaitwa STAMICO. So unafikiri stamico wakipata dhahabu wanapeleka wapi? na kukupa faida tu, hata mererani stamico wapo wakishirikiana na kampuni ya tanzanite one. Kampuni ya Twiga ni muunganiko wa serikali na barrick baada ya acacia, wapo kwenye migodi ya north mara na buli. Miaka ya nyuma kulikuwa na kitengo cha kununua na kutunza madini pale banki kuu ila kilihujumiwa kuna kipindi so Jiwe kaingia na kukifufua na kuanza tena kazi.Serikali imeanza lini kununua Tanzanite?Madini gani mengine wamenunua tangia waingie madarakani?Faida kiasi gani Tanzania imepata hadi sasa?
Serikali inafanya biashara?CAG anakagua hayo manunuzi?
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Mwenyewe kesharidhia chokochoko ya nini?Pesa iliyo lipwa kwa madini ya Tanzanite kilo 9.27 na kilo 5.8 iliyo ungana ni pesa kidogo sana, kelele na mbwembwe zitapata sifa kwa wasio elewa. Haya madini ya ukubwa huu kwa biashara ya kimkakati (Auction), yanaweza kulipwa pesa mara 10 ya hizi.
Ukitafakarimuda/gharama za uchimbaji zaweza kuwa nusu au thamani ya pesa anayo lipwa, Mh Dotto nachunguza hizi kelele zina maana gani?Uzalendo kwa sasa pelekeni hayo mawe mnadani jueni thamani kisha mpeni thamani halisi ya ushindani, halafu Serikali iyatumie kwa maonyesho.
Unique pieces kama hizi zilipaswa kushutua kwa bei, kwani thamani yake haipangwi kwa gramu isipokuwa upekee. Kuna rules katika biashara hizi, rules hizo hazihitaji Degree wala PHD isipokuwa Wall Street thinking, nani ataona value ya Tanzanite tena? Biashara sio kelele ni strategy.
Unique pieces kama hizi bei zake hazipangwi kwa gramu isipokuwa upekee. Kuna rules katika biashara hizi, rules hizo hazihitaji Degree /PHD isipokuwa Wall Street thinking. Nani ataona thamani ya Tanzanite kwa kilo 9.27/ 5.28 kuuzwa sawa na saa ya Mike Tyson? na mnunuzi ni Serikali?
Kwa kukosa uelewa mmeshusha thamani ya Tanzanite kwa hali ya juu sana, piece ya kilo 9.27 na 5.28 ni unique pieces ambazo kwa bei mnayo pigia kelele sio zaidi ya USD 3.5 milioni. Najiuliza sasa ni pieces gani nyingine zitapata thamani kuonyesha upekee wa madini haya?
wanao zungumzia muda akili zao hazipo sawa, wanafikiri kwa ubongo wa Lema.Maajabu. Anazungumzia muda na gharama anazotumia mchimbaji, vitu visivyohusiana kabisa kwenye industry ya vito.
Unaweza kuta muda na gharama alizotumia huyo aliyepata hizo kilo ni chini kulinganisha na wanaotoka na mawe ya gram kadhaa tu.
Lema achana na mawe ya Laizer na bei yake. Siku wewe ukipata yako hakikisha unayafanyia "auction" kwa kutumia "Wall Street Thinking".Pesa iliyo lipwa kwa madini ya Tanzanite kilo 9.27 na kilo 5.8 iliyo ungana ni pesa kidogo sana, kelele na mbwembwe zitapata sifa kwa wasio elewa. Haya madini ya ukubwa huu kwa biashara ya kimkakati (Auction), yanaweza kulipwa pesa mara 10 ya hizi.
Ukitafakarimuda/gharama za uchimbaji zaweza kuwa nusu au thamani ya pesa anayo lipwa, Mh Dotto nachunguza hizi kelele zina maana gani?Uzalendo kwa sasa pelekeni hayo mawe mnadani jueni thamani kisha mpeni thamani halisi ya ushindani, halafu Serikali iyatumie kwa maonyesho.
Unique pieces kama hizi zilipaswa kushutua kwa bei, kwani thamani yake haipangwi kwa gramu isipokuwa upekee. Kuna rules katika biashara hizi, rules hizo hazihitaji Degree wala PHD isipokuwa Wall Street thinking, nani ataona value ya Tanzanite tena? Biashara sio kelele ni strategy.
Unique pieces kama hizi bei zake hazipangwi kwa gramu isipokuwa upekee. Kuna rules katika biashara hizi, rules hizo hazihitaji Degree /PHD isipokuwa Wall Street thinking. Nani ataona thamani ya Tanzanite kwa kilo 9.27/ 5.28 kuuzwa sawa na saa ya Mike Tyson? na mnunuzi ni Serikali?
Kwa kukosa uelewa mmeshusha thamani ya Tanzanite kwa hali ya juu sana, piece ya kilo 9.27 na 5.28 ni unique pieces ambazo kwa bei mnayo pigia kelele sio zaidi ya USD 3.5 milioni. Najiuliza sasa ni pieces gani nyingine zitapata thamani kuonyesha upekee wa madini haya?
Kabisa wala hujakosea, wanavoshadadia sasa utafikir ya kwao hayo madinMTU yuko huru kuuza bei yeyote anayopenda angeweza kuuza hata kwa laki moja ni madini yake
Tatizo mpiga hesabu wa taifa anashilkiliwa Lindi
Mwizi siku zote anaona anaibiwa bei ya madini sio sawa na bei ya magari ya wizi kuna vigezo vingi vinatumika kwanza hakuna anyejua kama yale mawe yana nyufa kiasi ganiWakiwemo Gavana wa BoT,Waziri wa Madini,Mzee Baba mwenyewe,Mbunge nk.ni kati ya wanamganda na wanampango/wameshamaliza kumpora kama alivyobainisha Mh.Lema.
Inamaanisha?
Ndugu yangu sio kutapeliwa tu hata kuuwawa huku Arusha wengi tu wameuwawa. Najua wapo wanaosikitika kukosa hii dili ndio hao wanaopiga keleleHuyo mwuzaji alishafuatwa sana auziwe zaidi ya hiyo pesa,nadhani jamaa aliangalia zaidi usalama,kwamba hela serikali ina usalama zaidi,maana watu binafsi au makapuni unaweza kutapeliwa pia
Acheni dhuluma ninyi manyang'au
Acheni dhuluma ninyi..mlipeni kadri ya thaman ya mzigo ulioko mezani..hbr za kuuawa ni vitisho tuNdugu yangu sio kutapeliwa tu hata kuuwawa huku Arusha wengi tu wameuwawa. Najua wapo wanaosikitika kukosa hii dili ndio hao wanaopiga kelele
Biashara ni makubaliano, kama muuzaji amekubali kuuza kwa bei hiyo ni maamuzi yake. Na serikali kama mnunuzi ikiamua kuyaingiza sokoni yanaweza kufika bei hiyo ya mara 10 kama inavyodhaniwa. Hivyo naamini hayo mawe hayaja shuka thamani yake .Pesa iliyo lipwa kwa madini ya Tanzanite kilo 9.27 na kilo 5.8 iliyo ungana ni pesa kidogo sana, kelele na mbwembwe zitapata sifa kwa wasio elewa. Haya madini ya ukubwa huu kwa biashara ya kimkakati (Auction), yanaweza kulipwa pesa mara 10 ya hizi.