Godbless Lema: Nimempekala Mtoto Agakhan Hospital Bima (NHIF) Imekataliwa!!

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Nimempeleka mtoto Agakhan Hospital kutibiwa , Bima (NHIF) imekataliwa kwamba hawajalipwa fedha zao kwa muda sasa. Uchumi unakuwa kwa kasi.



UFAFANUZI WA NHIF:

40AF45F2-8E86-471A-B910-A2DC46811072.jpeg
 


Hilo lipo hospital nyingi sana

Huko kwenye hiyo mifuko ya jamii kumekopwa haswa.
Hospital nyingi wanadai hawajalipwa hela kutoka huko kwenye hiyo mifuko sasa wanashindwa kuendelea kuwahudumia wagonjwa wanaitumia aina hiyo ya huduma inabidi wawahudumie wale wa cash cash.

Pesa mbele
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom