Godbless Lema: Nilimpigia Kikwete baada ya Magufuli kuondoka, nilimwambia aongee na Mama nataka kurudi

CCM ni Chama kikubwa sana

Wakati Upinzani umepamba moto Wazee wawili wakapandikizwa Chadema kukipunguzia nguvu ilikuwa 2015

Baada ya Chadema kuwa na Mbunge mmoja CCM wameanza kukitengeneza wanavyotaka Wao

Godbless Lema ni Kijana wa Augustino Lyatonga Mrema ambaye alikuwa Kada mtiifu wa Chadema

JK ikimpendeza huyo Lema ndiye Mwenyekiti ajaye wa Chadema

Jumaa kareem!
Alimpigia kama Rais mstaafu. Kwani kazi ya wastaafu ni nini? Si pamoja na ushauri?
 
Na mimi nakwambia hivi taarifa rasmi aliyotoa huyo huyo maza kuhusu kifo cha Magufuli hakusema kuwa ni corona, sasa tumuamini alipotoa taarifa rasmi au hilo jibu la swali la kuashtukiza? Akija kuulizwa tena na kusema Malaria ndio ilimuuwa Magufuli itakuaje?

..tuamini taarifa zote mbili kuwa ilifariki kwa ugonjwa wa corona na changamoto ya moyo.
 
CCM ni chama kikubwa na kimeongozwa na viongozi wenye busara ila likatokea jinaminizi moja likaanza kuua watu inabidi wastaafu wa CCM waitwe waingilie kati
Tanzania sio ya kupiga na kuteka viongozi kisa siasa
 
Alikufa Sokoine wewe unashangaa Magufuli?!!

Wakamsingizia Rashid wa watu

Wewe CCM umeijulia ukubwani kama Chadema Ndio sababu unashangilia kifo cha Magufuli kana kwamba Ndio big deal
 
CCM ni Chama kikubwa sana

Wakati Upinzani umepamba moto Wazee wawili wakapandikizwa Chadema kukipunguzia nguvu ilikuwa 2015

Baada ya Chadema kuwa na Mbunge mmoja CCM wameanza kukitengeneza wanavyotaka Wao

Godbless Lema ni Kijana wa Augustino Lyatonga Mrema ambaye alikuwa Kada mtiifu wa CCM

JK ikimpendeza huyo Lema ndiye Mwenyekiti ajaye wa Chadema

Jumaa kareem!
Uko sahihi kabisa. Lema ni mwanaCCM mtiifu. Watu wengi hawajui kama Lema alikuwa TLP hata baada ya uchaguzi wa 2005. Na ana kashfa ya kuuza ushindi wake wa mwaka 2005 kwa Felix Mrema wa CCM. Mwaka 2010 kwa waliokuwepo Arusha wakati wa uchaguzi watakumbuka vile wananchi walikuwa nje ya jengo la manispaa wakishinikiza Lema atangazwe mshindi wa ubunge. Sababu ya kufanya vile ni kwasababu ilihofiwa Lema angeuza tena kwa mgombea wa CCM Batilda Buriani kama 2005.. wakati wananchi wakiwa nje ya jengo yeye Lema alikuwa ndani na Mzee Lowassa. Ile siku haitasahaulika kwa watu wa Arusha.
 
Lema hajawahi kuwa mpinzani!

Wewe umeona alipelekwa Canada kama Mpendwa Wetu Balozi na Padre Dr Slaa
 
CCM ni Chama kikubwa sana

Wakati Upinzani umepamba moto Wazee wawili wakapandikizwa Chadema kukipunguzia nguvu ilikuwa 2015

Baada ya Chadema kuwa na Mbunge mmoja CCM wameanza kukitengeneza wanavyotaka Wao

Godbless Lema ni Kijana wa Augustino Lyatonga Mrema ambaye alikuwa Kada mtiifu wa CCM

JK ikimpendeza huyo Lema ndiye Mwenyekiti ajaye wa Chadema

Jumaa kareem!
Wee Mzee 🤣🤣🤣, ni vzr ungeweka maelezo yote alimpigia jk ili amruhusu kurud bongo au? Weka maelezo kamili!!
 
Alikufa Sokoine wewe unashangaa Magufuli?!!

Wakamsingizia Rashid wa watu

Wewe CCM umeijulia ukubwani kama Chadema Ndio sababu unashangilia kifo cha Magufuli kana kwamba Ndio big deal
nyie mashabiki wa Magufuli ndio mmeivamia CCM ukubwani, mmeletwa na huyo chizi mnayemtetea humu kila siku, badala ya kukitetea chama, nendeni hiyo Umoja Party yenu mamluki nyie
 
Asante Magu Kwa sacrifice uliyoitoa Kwa Watanzania.

Bila wewe tusingeyajua haya.

Ukombozi wa Nchi hii utaletwa na Desmond tutu au yule Martin Luther.

Mchungaji MBARIKIWA anatafuta wa kumnasua asizame, wenzie wameangalia pembeni kama hawaoni kinachoendelea,

2023 tunashukuru Kwa mchango wa wastaafu ktk Kampuni yetu, yatosha.

Baada ya tetemeko kuiharibu Turkeyo, na kumsafishia njia Putino,

Vita kuu ya 3 ya Dunia is loading......

Aliyeko mlimani na asishuke kumrudia mtoto aliyemsahau.

Asante.
 
Back
Top Bottom