Godbless Lema ndiye mbunge maarufu zaidi kwa sasa nchini ingawa hayupo bungeni

Ivi mfano Leo hii uchaguzi urudiwe unathani kura yako itaenda kwa nani kati ya hawa
wawili?
96474b4e1f3971253b1ec0edf5c3b6bb.jpg
 
Anaandika Edo Kumwembe
......Godbless Lema ndiye Mbunge maarufu zaidi kwa sasa nchini ingawa hayupo bungeni.....Inahitaji akili kuucheza mchezo wa siasa.......
Wanazuoni wengi wanamlinganisha na Mitume , huku wengine wakimuweka kundi moja na Wapigania uhuru maarufu wa kiafrica kama Nelson Mandela , Kwame Nkrumah na Mwl Nyerere .
 
Wanazuoni wengi wanamlinganisha na Mitume , huku wengine wakimuweka kundi moja na Wapigania uhuru maarufu wa kiafrica kama Nelson Mandela , Kwame Nkrumah na Mwl Nyerere .
Acheni kumfananisha Mandela, Nyerere, Nkrumah na vitu vya kijinga!
 
Nijitundike kwa sababu ya criminal! Hebu toka hukoo!
Criminal? Sijakuelewa!! Hivi Mfalme Herode alivyoota ndoto na kuwasimulia watumishi wake, ilikuwa criminal? Na je Yusuph alivyoisimulia ile ndoto ilikuwa Criminal, wewe kajipange uje na hoja sio vihoja. Cku zote Mungu akitaka kuuangusha ufalme anaufitinisha, weka akiba maneno yangu. ( Wazungu sana msemo wao Power no permanent).
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom